Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

Dah ....pole mkuu, mademu sometime huwa hawaeleweki kabisa

Ingekuwa mimi zamaaani namba zake za simu nime replace na demu mwingine

Usumbufu wa hivyo hauvumiliki
 
Mkuu nimecheka sana yani naimani unaumia mno hahahahaha .....ulionesha udhaifu katika issue flani elekea alafu haukuwa secure kwake mkuu.....

be calm bro usimtafute stay low uone uelekeo, most of versity girl wanapenda mtu uonekane kufa sana ndo wanaelewa so be humble....mkaushie...Fanya mambo yako vizuri mkuu atakutafuta akiona kimya .....
 
Kuna madem wengine hawajui kutongozwa, wao ngwara ndio saiz yao.
Ila huyo mtoto alikuwa anaku enjoy mzee Baba. Shusha pumzi potezea.
Asante kwa ushauri kaka
 
Achana na ma slay queen kijana.Kwa hO tabia tu huyo si wife material.Mungu anakuepusha
 
Dah ....pole mkuu, mademu sometime huwa hawaeleweki kabisa

Ingekuwa mimi zamaaani namba zake za simu nime replace na demu mwingine

Usumbufu wa hivyo hauvumiliki
wanawake ni complicated
 
Naomba unikumbushe mkuu, udhaifu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…