Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 5,445
- 14,828
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.
Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.
Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!