Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Natakiwa nishauriwe na mwanamke mpambanaji anaechangia kipato kwenye familia ila sio yule ambae yupo tu nyumbani afu ananiletea ujuaji wa kunielekeza hivi mara vile wakati yupo amekaa,pambana na wewe uone moto unavyowaka
Kwanini hukuoa mwanamke mpambanaji? Huwa mnakosea sana...na asingekushauri chochote ungelalamika pia.
Hana kazi? Kwanini? Kakataa kujishughulisha au ipoje?
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Hahahah yeye anashinda instagram akiaangalia yanayojiri kule kisha anakuja kukupanikisha ili nawewe ufanye mambo muishi kama wale raia wa instagram 😂😂😂

Hio ndio kazi ambayo hawa mama zetu wanaiweza sana.
 
mku

mkuuuu kiukweli saikolojia ya wanawake unaijua bravo
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Kulea mtoto sio kazi?
Hujaskia wengine inabidi waache kazi kabisa sababu ya kulea?
Naona sio poa ulivyomuongelea wife wako mwenyewe.. it's sad.
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.

Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.

Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Kwaiyo mlitaka tuwatongoze ili tuwahudumie 🤣🤣
Si mngesema tu jamn🤣🤣🤣
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
🤣🤣Sasa na yeye si mpambnaji Kwa watoto wake
 
Kwaiyo mlitaka tuwatongoze ili tuwahudumie 🤣🤣
Si mngesema tu jamn🤣🤣🤣
Acha ubahili hizo hela ukinihudumia utapungukiwa nini? Mbna ukiwa mwenyewe unajihudumia!
 
Back
Top Bottom