Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Yani atakaehudumiwa na Mimi namuhurumia nitakavyomfanya.... Kwanza hatakiwi kuwasiliana na mtu mwingine yoyote isipokuwa kwa ruhusa yangu,,, anipe kila nitakapohitaji,,,, nikitoka kazini anipokee kwa magoti sio wima wima tu, anatakiwa kunisifia navyojua kumtunza kila wakati😂😂😂😂😂😂
😂😂
 
Hahahah yeye anashinda instagram akiaangalia yanayojiri kule kisha anakuja kukupanikisha ili nawewe ufanye mambo muishi kama wale raia wa instagram 😂😂😂

Hio ndio kazi ambayo hawa mama zetu wanaiweza sana.
Yaan ukimkuta anavyonishauri utazani yeye ni wale watu waliofanikiwa kimaisha wakati mimi ndo namlisha
 
Kwanini hukuoa mwanamke mpambanaji? Huwa mnakosea sana...na asingekushauri chochote ungelalamika pia.
Hana kazi? Kwanini? Kakataa kujishughulisha au ipoje?
Hajakataa kujishughulisha,ila nimemwambia tumalize mambo ya kuzaa ndo ataanza harakati
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Unataka aache kulea akusaidie kutafuta?
 
Nadhani jaribu kuwa na mwanamke unayemmudu

usife kisa kumuimpress mtu
 
Ukikubali kula sharti uliwe,, mnavyotufanyaga na wewe ujiandae kufanywa hivyo hivyo,
I of course am in the latter category, I think it's down to men to change things and that men are responsible for where we are, but I don't pretend to believe in gender equality and act like we're the same when asymmetries as pronounced as this one are staring me in the face.
 
Hujui kuandika kiswahili,,, watu wengine buana
 
Hujui kuandika kiswahili,,, watu wengine buana
So you get this protected class that receives a high level of respect despite being held to a low social standard.

And we are meant to believe they are equal to an unprotected class that is routinely denigrated and held to a high social standard.

Extremely unjust and perverse.
 
Kakae sijakulazimisha uninukuu,,
 
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.

Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.

Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Mkuu
Achana nao. Bahati mbaya ni kwamba kila kitu kitaliwa na udongo wala hakuna taabu
 
Mkuu jisemee wewe tu, mimi sikubali kulishwa na kupewa hela na mwanamke... kama nguvu za kupambana kuisaka hela ninazo, nashindwa nini sasa
50/50 inaitwa mkuu!
 
Hajakataa kujishughulisha,ila nimemwambia tumalize mambo ya kuzaa ndo ataanza harakati
Tatizo hamueleweki kuna mwenzako huko nae alianzisha uzi anadai mwanamke ni bora tuu akae nyumbani kuliko kufanya kazi maana wakiwa na kipato wananyodo

Uzi ule nusu ya wanaume wenzako waliunga mkono hoja hiyo ya kipuuzi ambayo haina maana

Ila muheshimu sana mkeo kulea ni kazi mnoo yani yale mateso wamama wanayo yapata sio ya kawaida mkuu
 
Kulea kuna kazi gani akati mnasaidiwa na mahausi gelo!
 
Back
Top Bottom