Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Yani atakaehudumiwa na Mimi namuhurumia nitakavyomfanya.... Kwanza hatakiwi kuwasiliana na mtu mwingine yoyote isipokuwa kwa ruhusa yangu,,, anipe kila nitakapohitaji,,,, nikitoka kazini anipokee kwa magoti sio wima wima tu, anatakiwa kunisifia navyojua kumtunza kila wakati😂😂😂😂😂😂
Wewe unafanya haya kwa Mwanaume anayekuhudumia?

😅😅😅
 
Hizi ni kati ya nyuzi nyingi ambazo watu wa jeiefu siku hizi huzianzisha kufurahisha raia tu...
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Hahaha kazi unayo
 
Kuna siku utaomba kupakatwa kabisa nayo yaja upesi.
 
Wewe unafanya haya kwa Mwanaume anayekuhudumia?

😅😅😅
Kwenye hilo nina adabu acha kabisa usiombe kukutana na mimi, labda unikere ndo siwezi kukufanyia hayo ila unifurahishe nje hadi ndani napiga magoti kabisa ya kushukuru kwa 'kufurahishwa'
 
Kumbe hajakataa kujishughulisha mmekubaliana azae kwanza sasa kwa nini unamzungumzia vibaya??
Sitaki kushauriwa na mtu aliechagua kuolewa badala ya kutafuta pesa zake kwanza

Ukiolewa kazi yako ni kumsaidia mumeo majukumu ya nyumbani,mipango za harakati zake usijifanye mjuaji sana kumuingilia,wewe tulia ule ulale
 
Ss km umemwambia azae kwanza
Inakuwaje unamuona wa ajabu?
Namuona wa ajabu maana hata akimaliza mambo ya uzazi bado atasimamia shughuli zangu au atahitaji mtaji wa biashara kutoka kwangu,na hawezi tafuta hela zake pasipo kupata msingi kwangu,kwahyo anatakiwa kutulia mimi ndo dereva
 
Sitaki kushauriwa na mtu aliechagua kuolewa badala ya kutafuta pesa zake kwanza

Ukiolewa kazi yako ni kumsaidia mumeo majukumu ya nyumbani,mipango za harakati zake usijifanye mjuaji sana kumuingilia,wewe tulia ule ulale
Kwa hiyo mkeo akikushauri mambo ya maendeleo tayari ni mjuaji? Kazi tunayo wanawake. Natamani kujua wanaume huwa mnataka wanawake wa aina gani mana mna mapya kila leo.
 
Kakae sijakulazimisha uninukuu,,
The solution of course as always is to not focus on what everyone else is doing, and work on being the best version of yourself in a way that is complementary to the other sex. That goes for everyone. Being a passive man or a combative woman is just destroying your own chances.
 
Mkuu hebu nitafasirie kwa kiswahili!
 
The solution of course as always is to not focus on what everyone else is doing, and work on being the best version of yourself in a way that is complementary to the other sex. That goes for everyone. Being a passive man or a combative woman is just destroying your own chances.
Huu muda unaotumia kuniandikia ngeli yako ungeutumia kutafutia hela tu
 
Back
Top Bottom