Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.

Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.

Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Dalili mbaya hizi kwa mwanaume
 
Kwani unalea mwenyewe au baba mtoto hausiki?
Anapo toka kwenda kwenye majukumu yake huyo mtoto anabaki na nani? kama sio mama na hapo unakuta hana msaidizi hivyo kazi zoote anafanya yeye
 
usitake kubadilisha majukumu ya uumbaji.leo hii unataka kuhudumiwa si kudanga uko?
 
Wenzako tukishavunja pochi namna hio iwe siku hio hio au kesho yake..manzi hapewi hata mia...😂😂😂
 
Anapo toka kwenda kwenye majukumu yake huyo mtoto anabaki na nani? kama sio mama na hapo unakuta hana msaidizi hivyo kazi zoote anafanya yeye
Sawa nakubali nawewe kukaa tuu nyumbani huoni unakuwa mzigo kwa familia na maendeleo ya taifa dada!
 
Safi swali ni je kama unapata hela kwanini ushindwe kumhudumia umpendaye? Ikiwa yeye pia anakuhudumia!
Sijawahi kushindwa kumuhudumia mtu ninaye mpenda hata siku moja
 
Kwanini hukuoa mwanamke mpambanaji? Huwa mnakosea sana...na asingekushauri chochote ungelalamika pia.
Hana kazi? Kwanini? Kakataa kujishughulisha au ipoje?
Hii jinsia haiekeweki inataka Mwanamke wa aina gani?
Kuna mada humu zaidi ya moja wakishauriana wanawake wa pambanaji si wakuoa kwani hawajui majukumu yao na wamejawa jeuli🤷🏼‍♀️
 
Hii jinsia haiekeweki inataka Mwanamke wa aina gani?
Kuna mada humu zaidi ya moja wakishauriana wanawake wa pambanaji si wakuoa kwani hawajui majukumu yao na wamejawa jeuli🤷🏼‍♀️
50/50 ndio dunia ilipo sasa!
 
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.

Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.

Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Kwani mnatoka na wanawake wa wapi...???🙄🙄

Mbona wengine tunalazimisha kulipa hizo bill.
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
Sasa si unapambana kwaajili ya familia??? Ushauri wake unahusika 💯
 
Back
Top Bottom