Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Yaan ukimkuta anavyonishauri utazani yeye ni wale watu waliofanikiwa kimaisha wakati mimi ndo namlisha
Ila una lugha yenye ukakasi! Mkeo ana tabu sana hivi unafikiri usingemwoa asingekula?why hukuoa mwanamke mwenye kazi yake hapa ulikosea mshikaji.
 
Back
Top Bottom