Mnataka mtupelekee Moto na toysMtakubali kuvumilia tunayovumilia sisi
Hujasema yote mnayotufanyiaga ni huzuni kwakweli.Mnataka mtupelekee Moto na toys
Au mnataka kutupiga na kututukana.
π€£π€£π€£π€£Habari ya asubuh mkuu.
Kwa nini mnang'ang'ania mademu? Ukishamuweka mjegejeo achana naye ukiwa na nyege tena tafuta mwingine,matatizo mengine mnajitakia.Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.
Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.
Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Somo la haki sawa linalo fundishwa huko mashuleni naona wavulana washalielewa na sasa wanataka kuliapply.Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.
Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.
Nadhani ni muda sasa wa sisi wanaume kuanza kuhudumiwa na wanawake hilo waanze kujifunza!
Huyo Muuni yuko desperate sana nahisi yuko tayari kuwa Marindafied!πππUpo tayari kuhudumiwa?