Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Unaweza kutuambia Kwa nini akuwaowa hao kama kweli anapenda wanawake ila amekuowa wewe na Anniversary juu?
Kwa sababu aliona mie namjali sana tena kipindi bi mkubwa alipoachana naye ndio akapata shida zaidi ya kunywa pombe .
So akawa anapenda sana kubadilisha puchi ila baada ya divorce kufinalize ndio akaona haina haja yakufa na shida za pressure akanioa na sasa tupo tu
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
Mwanzo hadi mwisho sijaelewa.
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
Usha zaa 😁😁
 
Sijaelewa unazungumzi past, present or future?

Ulielewa mantiki ya swali langu?
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
wapi pichaa
 
Muroge period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…