katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
- Thread starter
-
- #121
Unafiki wangu uko wapi ebu nionesheWewe nimnafiki hadi Mungu akikuangalia anachoka walahi
Sas🤣🤣🤣🤣🤣 Hapo Unawaza mumewe aliwezaje kuwa nae
Unamsifia mtu halafu baadae akipondwa unaponda sio vizuriUnafiki wangu uko wapi ebu nioneshe
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe glen eti unamadai kila wanamke humu anashida na hizo mipu'xxxx bu maji yenu milenda aih eti sema dau mara unaniita ngoro wewe ni chapati tu huna lolote yale makongoro ya tunaywea supu tu sio kwachapati
Me sijamponda ila nimewaza kutokana na alichocomment witnessj ndio maana nikasema hivyo kiufupi nimeandika kulingana na mawazo aliyonayo witnessj ukisoma vizuri utanielewaSas
Unamsifia mtu halafu baadae akipondwa unaponda sio vizuri
Dada yangu leo umekasirika Sana usiwe na reaction na mtu ambaye akusaidie kwenye maisha yakoWewe ni Yuda
Tozo baba🤣Dada yangu leo umekasirika Sana usiwe na reaction na mtu ambaye akusaidie kwenye maisha yako
Narudia wanaume mnapitia magumu aseeSio kazi ya kitoto, hebu uwe na aina hii ya mwanamke kazi kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HaahaaahaaaAhaa mbona unajibu txt za Unique Flower
Amekutuma?
Hayo unayoniuliza yanakuhusu nini?
Utajielewa lini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiveeepe katoto kabayaa?Hapo sasa wewe ni mtakavitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu dada sijui sio mtanzania au elimu yake duni? Maana akiandika Sana ndio anazidi kuharibu
Swali muhimu HiliVipi mahusiano yako na baba yake yanaendeleaje?
Hujui wewe ulivyo mtakavitu na mchukua vitu au unataka nielezee kiundani mimi nakujua sana kiundani hadi picha ninazo ila sina roho mbaya kama yako ya kukusema vibaya kwa sababu sijakuzwa kihivyoo.Kiveeepe katoto kabayaa?
Kwanini tupo tu naishi kwa raha kwa sababu nimebarikiwa kupata mzee wangu handsome kanipa watoto wanne wazuri sana .Vipi mahusiano yako na baba yake yanaendeleaje?
Kama upo na baba Hilo ni jambo nzuri maana tunahofia isije ikawa amekuachia usingle mother alafu yeye kakimbia majukumuKwanini tupo tu naishi kwa raha kwa sababu nimebarikiwa kupata mzee wangu handsome kanipa watoto wanne wazuri sana .
Wakiume watatu mdada mmoja ila wote mapacha hivi wakaka watatu wamezaliwa first borns na last born ni wakike.
Siku mkiachana naomba niitumikie hiyo nafasi yake natangaza niaKwanini tupo tu naishi kwa raha kwa sababu nimebarikiwa kupata mzee wangu handsome kanipa watoto wanne wazuri sana .
Wakiume watatu mdada mmoja ila wote mapacha hivi wakaka watatu wamezaliwa first borns na last born ni wakike.