Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

Status
Not open for further replies.
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu.
:A S thumbs_up:
We kafundishe mirembe!!!
 
Mm nimeangaika wee ngoma inagoma kufunguka wakuda sijuw ndo wanafanya mambo
 
Walimu wenzangu tukae mkao wa kula mda si mrefu mambo yatakua poa, ila nashauri tupige kazi kozi tuna dhima kubwa sana kwa Allah{sw} muumba.hii ni kutokana kuwa ualimu ulianzia kwa mitume wetu.
:A S thumbs_up:

njoo kazini na mori wako wa kufanya kazi,na uendelee nao,hapo una ham na kaz kwakua huna kazi,una ham na mshahara,,,,ukianza kuupata na kaz unayofanya ndo ujiasesi upige kazi au ufanyeje???karibu CHAMA CHA WANYONGE TANZANIA (CWT)
 
Sio.wewe.ni.kweli haiufungui afu ni mda mrefu tuu mi nljarbu snce saa 3 bt adi nw haifunguki..SJA
 
Najuwa mada itabadilika tu humu siku si nyingi kelele zitaanza jamanii eeeeeh nimetupwa chaka mie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom