Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

Wakuu heshima yenu,

Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.

Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani).

Iko hv Juzi wakati npo faragha na huyo mchumba wangu nlishindwa kufua dafu kbs, tatzo lilikuwa ninawahi kumaliza (ejaculate) na sio kawaida yangu kbs.

Hii hali imenipata ni mara ya pili sasa na imeanza kuninyima furaha kbs imefanya mchumba kaninunia ety simfikishi km hapo awali ,naomba nikiri hapo awali nlkuwa napga ushindo wa kwanza baada ya km dk5 hv na mshindo wa pili nlkuwa simalizagi kbs hadi yeye anakuwa anamalza mara 2 mm bado na nlkuwa naishia hapo tu na anakuwa ameua show kbs kwa upande wake.

Sasa ndg zangu naomba mnisaidie hata kwa ushauri tu maana hii ni aibu na inaniharibia mahusiano yangu sasa, shida itakuwa ni nini? Kwanini nawahi ku ejaculate? Haikuwa hivyo hapo nyuma why now? Guys I'm really confused with the situation and I can not hold to myself kuliweka hadharani.

Hadi nmeanza kufikiria au sina nguvu za kiume? Ikizingatiwa sijawahi kumpa demu yoyote ujauzto tangu nmeyajua Mapenz, naumia sana.

Najua kuna watu hii hali imewahi kuwatokea naombeni kujua mlifanya nini mkawa sawa tena yani mkaendelea kutembeza dudu fresh tu na wapenz wenu wakaenjoy.

Natanguliza Shukurani.
Mpumbavu kweli, unaacha kuwaza maisha unawaza kumridhisha mwanamke.

Kwa akili Yako unadhani mwanamke anaridhika?.
Endelea kujidanganya.
 
Kuna mambo mengi yaweza kuwa sababu. Ulaji wako, muda wa kupumzika, utimamu wa mwili na akili, utayari na hiyari katika kufanya tendo, lakini mazoezi ya mwili, halafu kuna kipengele cha mawaziliano kwa ujumla baina yako na mwenza wako.

Hata hivyo wakati fulani ni jambo la mpito tu na baadaye mambo yatakaa sawa.

Ni muhimu kujiamini na hakikisha unamjenga na kujijengea tabia ya kupunguza au kuacha tabia ya lawama kupita kiasi haifai
Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri ,Ubarikiwe na Mungu.
 
Kubali tu kwamba kuanzia mwanzo Show zako zilikuwa ni mbovu ila sasaivi umekutana na gumegume limekupa ukweli.

Acha punyeto, fanya kegel exercises, chai yako changanya na asali vijiko viwili vikubwa usiweke sukari,

Usipopona achana na mambo ya wanawake karibu hapa Parokia ya Dodoma tumtangaze mwokozi.
Umenifurahisha sana
 
Mpumbavu kweli, unaacha kuwaza maisha unawaza kumridhisha mwanamke.

Kwa akili Yako unadhani mwanamke anaridhika?.
Endelea kujidanganya.
Mkuu tatzo sio kumridhisha Mwanamke ispokuwa tatzo ni kwann nawahi san kufka kileleni na hii sio kawaida yangu mkuu ndio maana nmeulza nijue kama ni hali ya kawaida au nmepatwa na tatzo.
 
Wakuu heshima yenu,

Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.

Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani).

Iko hv Juzi wakati npo faragha na huyo mchumba wangu nlishindwa kufua dafu kbs, tatzo lilikuwa ninawahi kumaliza (ejaculate) na sio kawaida yangu kbs.

Hii hali imenipata ni mara ya pili sasa na imeanza kuninyima furaha kbs imefanya mchumba kaninunia ety simfikishi km hapo awali ,naomba nikiri hapo awali nlkuwa napga ushindo wa kwanza baada ya km dk5 hv na mshindo wa pili nlkuwa simalizagi kbs hadi yeye anakuwa anamalza mara 2 mm bado na nlkuwa naishia hapo tu na anakuwa ameua show kbs kwa upande wake.

Sasa ndg zangu naomba mnisaidie hata kwa ushauri tu maana hii ni aibu na inaniharibia mahusiano yangu sasa, shida itakuwa ni nini? Kwanini nawahi ku ejaculate? Haikuwa hivyo hapo nyuma why now? Guys I'm really confused with the situation and I can not hold to myself kuliweka hadharani.

Hadi nmeanza kufikiria au sina nguvu za kiume? Ikizingatiwa sijawahi kumpa demu yoyote ujauzto tangu nmeyajua Mapenz, naumia sana.

Najua kuna watu hii hali imewahi kuwatokea naombeni kujua mlifanya nini mkawa sawa tena yani mkaendelea kutembeza dudu fresh tu na wapenz wenu wakaenjoy.

Natanguliza Shukurani.
Kabla sijasoma mpaka mwisho inaonekana unafanya ngono zembe.

Kwa nin vijana tunapenda kuendekeza ngono katikati ya magonjwa tele ya zinaa?
 
Je mnakutana mazingira ya amani?
Je unapata muda wa kutosha?
Je una madeni, kausha damu?
Je ni raundi ya kwanza ya pili au ya tatu?

Tafuta mazingira tulivu usiwe na stress, pata muda wa kutosha, utakuja kutoa ushuhuda
 
Mbona mada kama yako ilijadiliwa jana na bado mjadala unaendelea!

"Guys I'm really confused with the situation and I can not hold to myself kuliweka hadharani.".

👆
Mbona unaandika like a girl?
In reality though if keep on intertaining
Hizo huwa zinatokea sana hasa kwa hiyo age hadi ukifika 30 una settle akili na mwili unapiga show nzuri TU Wala usiwe na hofu
Halafu Cha kwanza kwa mpenzi wako mbona hata 30mns unaenda binafsi huwa naenda hizo na ni above 30 tena mbali sana suala hapo ni utulivu wa akili na mwili uwe na nguvu otherwise sioni kuwa una shida isipokuwa ni hofu TU
NB:
Usiache kutembea asubuhi au jioni ni muhimu sana
Pia lazima awe na pesa
Kabla sijasoma mpaka mwisho inaonekana unafanya ngono zembe.

Kwa nin vijana tunapenda kuendekeza ngono katikati ya magonjwa tele ya zinaa?
Wao kuwa na girl friend ni km fashion
 
Mkuu mm mwenyew sipend tu niwe nae hv ila next year mambo yakiwa vzr namuweka ndani.
Leongo tuwe na Taifa linalojiheshimu vuta picha unamtoto wako wa kike kuna lijamaa linachimba tu mgodi kwa miaka 4 SI inamaana mtoto wako ni Malaya au Tena unakuja kuuliza humu nasisi tukuunge mkono kwenye uzinzi?
 
Mkuu mm mwenyew sipend tu niwe nae hv ila next year mambo yakiwa vzr namuweka ndani.
Lengo tuwe na Taifa linalojiheshimu vuta picha unamtoto wako wa kike kuna lijamaa linachimba tu mgodi kwa miaka 4 SI inamaana mtoto wako ni Malaya au Tena unakuja kuuliza humu nasisi tukuunge mkono kwenye uzinzi?
 
Hadi nmeanza kufikiria au sina nguvu za kiume? Ikizingatiwa sijawahi kumpa demu yoyote ujauzto tangu nmeyajua Mapenz, naumia sana.

Najua kuna watu hii hali imewahi kuwatokea naombeni kujua mlifanya nini mkawa sawa tena yani mkaendelea kutembeza dudu fresh tu na wapenz wenu wakaenjoy.
Wenzio tunalalamikiwa tunachelewa kumaliza shoo wewe unajilaumu ukiwahi kumaliza wengine bao la kwanza linatafutwa kwa position km 8 zinapigwa kongfu taikwando za kutosha
 
Sikia dogo...
1: Piga zoezi
2:kunywa tangawizi na energy ya azam...utapiga shoo atakimbia
Tangawizi + kitunguu maji + kitunguu swaumu....
3: mdalasini + tangawizi kali + azam energy
Hii formula ya kupiga malaya..hapo mkeo atasema
 
Mm ilinikuta siku moja nip n mchuchu ghetto alaf nikapig kimoja nilipotak kuendelea ngoma imegoma kuinuka busti bado tulisukume imegoma nikamwambia umenigomea leo 🫣🫣 kwa aibu kwaiyo relax
 
Huyo mwanamke umezidi kumzoea kiasi kwamba unamuona wa kawaida, wewe ki ufupi huna tatizo,Kama huamini tafuta manzi nyingine yenye mvuto uone utapiga show ya kibabe.
Ikitokea umemzoea sana mwanamke kingono ili ulifurahie tendo ubongo wako lazima ufanye kazi kubwa kuhakikisha unajisikia raha na hapa matokeo yake utawahi ku ejeculate, hili tatizo huwatokea zaidi watu walioathiriwa na Punyeto, mwanzoni atapiga show vizuri kama mara tatu mara nne baadae ni wa sekunde.
Ukikutana na papuchi mpya ubongo haufanyi kazi kubwa kufanya viungo vyako kureact ili ufurahie tendo matokeo yake utakuwa unaweza hata kujitoa mchezoni kiakili na kuanza kufikiria madeni mashine ikawa ngangari inasindilia.
Ushauri kula vyakula vitakavyokuongezea hamu ya tendo, chukua mazoezi ,Jipeni muda sio mnafanya kila siku na jaribu kubadilisha mazingira kwa mfano kama mmezoeana kutiana Geto nendeni mkatiane hata gesti, pili huyo mwanamke tofauti ya kujinunisha aongeze vitu vipya vya kukuhamasisha aache ubinafsi wa kutaka kuchanua miguu na kuridhishwa.
 
Back
Top Bottom