Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

Mkuu tatzo sio kumridhisha Mwanamke ispokuwa tatzo ni kwann nawahi san kufka kileleni na hii sio kawaida yangu mkuu ndio maana nmeulza nijue kama ni hali ya kawaida au nmepatwa na tatzo.
Kwani mpaka sasa Bao la pili halitoki?
 
Pole..mwenzio napiga bao 10 daily bila shida
 
Ndy mkuu ila mara nying tulkuwa tunatumia kinga hasa kwenye zile siku za noma na peku n mara nyingi tu sasa sjui nnatatzo! Dah

Watu wenginee bhn… yaani jitu linawaza kabisaa kumpa mtoto wa watu mimba na hata kwao hajulikani… Mungu akunyime mtoto mpk uoe hatutaki single father mtaani [emoji57][emoji57][emoji57]
 
Shida za kipuuzi kabisa. Hakuna kitu kinachoitwa nguvu za kiume. Haya ndio madhara ya kuwa skinny fat na kula sambusa 1 na kikombe cha chai alafu utegemee uwe na pumzi na nguvu za kuchimba shimo lisilo na mwisho.

Solution ni kula mlo kamili wenye protini za kutosha na maji ya kutosha. Alafu fanya mazoezi ya mwili kama calisthenics kama push ups, pull ups, chin ups na squats hapa utaongeza strength na muscle endurance. Vilevile kwenye mazoezi utafanya na Cardio, kama kukimbia, kuruka kamba na kugonga kwa sana kama part ya exercise. Hapo usisahau kupata usingizi wa kutosha.

Baada ya hapo ni kupiga gemu mpaka demu ashindwe kutembea wiki nzima. Just for the sake of it.

Tatizo la kutofanya mazoezi na afya ya mwili ni Nchi nzima. Asilimia kubwa ya watu ni skinny fat, yaani ana uzito mdogo na mwembamba lakini ana kitambi na amejaa mafuta kama puto lililojaa maji, Akipanda ngazi kila baada ya hatua mbili anahema kama mbwa alafu anategemea awe na uwezo wa kubiringita vibinti vidogo kwa masaa zaidi ya 6.

Fuking pathetic.
 
Wakuu heshima yenu,

Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.

Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani).

Iko hv Juzi wakati npo faragha na huyo mchumba wangu nlishindwa kufua dafu kbs, tatzo lilikuwa ninawahi kumaliza (ejaculate) na sio kawaida yangu kbs.

Hii hali imenipata ni mara ya pili sasa na imeanza kuninyima furaha kbs imefanya mchumba kaninunia ety simfikishi km hapo awali ,naomba nikiri hapo awali nlkuwa napga ushindo wa kwanza baada ya km dk5 hv na mshindo wa pili nlkuwa simalizagi kbs hadi yeye anakuwa anamalza mara 2 mm bado na nlkuwa naishia hapo tu na anakuwa ameua show kbs kwa upande wake.

Sasa ndg zangu naomba mnisaidie hata kwa ushauri tu maana hii ni aibu na inaniharibia mahusiano yangu sasa, shida itakuwa ni nini? Kwanini nawahi ku ejaculate? Haikuwa hivyo hapo nyuma why now? Guys I'm really confused with the situation and I can not hold to myself kuliweka hadharani.

Hadi nmeanza kufikiria au sina nguvu za kiume? Ikizingatiwa sijawahi kumpa demu yoyote ujauzto tangu nmeyajua Mapenz, naumia sana.

Najua kuna watu hii hali imewahi kuwatokea naombeni kujua mlifanya nini mkawa sawa tena yani mkaendelea kutembeza dudu fresh tu na wapenz wenu wakaenjoy.

Natanguliza Shukurani.
Dah bora ata wewe zamani ulikuwa unafika dakika 5 mie toka nianze kugegeda sijawahi pita sekunde 20 mbaya zaidi nina kibamia
 
Kwahiyo tokea 2020 unamwagia ndani na hakuna mimba?
Hiyo inaitwa over testing, yaani una jaribu chombo hadi kinapata hitilafu mteja anafika ulimwambia kiko tayari anakuta hakifanyi kazi kabisa km ni gari engine ime noki
 
Dah bora ata wewe zamani ulikuwa unafika dakika 5 mie toka nianze kugegeda sijawahi pita sekunde 20 mbaya zaidi nina kibamia
Bao la pili inakuwa hivyo hivyo sekunde 20? Na la tatu je inakuwaje?
 
Hilo kama dakika 8
La kwanza kuwahi ni kawaida hasa ukiwa hujafanya muda mrefu, la pili na la tatu yanachelewa sana, hata nusu saa inazidi, labda kama unatupanga, ila kama ni kweli, tafuta tiba.
 
Kama hiyo njia yaku mridhisha kwa kumpiga pipe imeshindikana. Piga sana deki mwanzoni, ukiingia piga tako zako 3, eventually everyone leaves happily
 
Nawewe mwambie saivi haibani kama hapo awali vp kunan?

Kila mtu amzingue mwenzake tu usikubali ile kwako.

Kwenye chai tumia tangawizi kama majani, kunywa maji mengi then ondoa mawazo wiki moya utakua sawa.
 
Back
Top Bottom