Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

Haujaeleza unatumia muda Gani ku-ejaculate mpk unasema ni mapema. Halafu hata mwanzo huoni ulikuwa na tatizo pia? Yaani Cha kwanza dk 5(fresh) baada ya hapo haumwagi tena mpk mechi unaisha (hii sio sawa) na je, ulikuwa unainjoi sex kweli bila ku-ejaculate maana Raha ya sex ni kumwaga Sasa ww humwagi unajiona mwamba. Pengine saivi ndo upo sawa ila huyo mwanamke wako ndo shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…