Jamani kitaa ni kigumu sana, ukikutana na watu wa namna hii usiache kutoa msaada

Safi sana mkuu. Kitaa kigumu. Nawaonea huruma sana hao vijana ila la msingi wakikwambia wanaunga bundle uwape simu usiwape watakuachia kilio.
 
Safi sana mkuu. Kitaa kigumu. Nawaonea huruma sana hao vijana ila la msingi wakikwambia wanaunga bundle uwape simu usiwape watakuachia kilio.
Huwa hata sisajiri kwa hao.Niliwahi mtimua mmoja alikuwa ana mlaghai wife amsajirie line yenye offer kabambe nikamwambie kamsajirie mama yako
 
Kama ni kweli basi memo yakufae katika maisha yako, maana hamkawii kutunywesha chai
 
Kama ni kweli basi memo yakufae katika maisha yako, maana hamkawii kutunywesha chai
Hapa tunaandika ili watu wajifunze wala sio kujionyesha uraiani hatuwezi wala kusema. Hii ni kweli na huwa nafanya hivi.Ni vitu vidogo sana hivi mkuu kuwapa watu 10 na kuwapa chakula unashindwa vipi kama unayo? mbona kwenye bar tunachoma nyma na kunywa hata 200k kwa usiku1 tu
 
Ubarikiwe, tunakuahidi hatoolewa kweli mkeo tutamlinda ukifa,una moyo mzuri
 
Wana hela hao sana mkuu ,kutafuta huwa ni kugumu ,hata yule marley dollar ukimkuta site kwake machimbo anavyopika ugali na dagaa unaweza ukamuonea huruma kumbe ni bilionea.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…