Jamani kitaa ni kigumu sana, ukikutana na watu wa namna hii usiache kutoa msaada

Yaani ,umenigusa mno
 
Huu uzi wachangiaji wanajisifia kutoa misaada.

Kama ni kweli mbona huko mitaani hatuwaoni mkifanya hivyo.

Kuna watu wengi tu wanapata matatizo lukuki hakuna wakuwasaidia.
 
Ukikutana na watu wa namna hii basi fanya kununua kitu
View attachment 3218915

Hata ukiwa hauna njaa fanya kuwa sehemu ya furaha kwao. Kitaa ni kigumu sana wanandugu.
View attachment 3218916
Na Ikiwezekana mpe muda wakubadilishana mawili matatu,

na ukipata kujua malengo yake na dhamira yake juu ya kile anachokiamini, unaweza ukampiga tafu kulingana na uwezo wako.

Mtu aliechukua maamuzi hadi hatua hii ya kujichanganya, anakua na uthubutu ni courageous man kinachomkwamishi ni sapoti tu, hasa hasa mtaji na mazingira sahihi.
 
Kabsa Mkuu
 
Nilipitia life moja hvi aiseeeee ile life ilikua hatareeee..
Daah nikikumbuka huwa natamani kulia
 
Namna hii inapendeza sana, mkuu umeshare kitu kizito sana... Hii ni nguvu chanya, ENERGY ⚡ umetuambukiza binadamu wenzio na nimeipokea pia nitaifanyia kazi pale inapobidi🤝🏿

(Imagine mood na emotions iliyoripuka siku hiyo na huyo mama imeamka tena leo na kwangu kupitia huu ujumbe wa maneno)

🤝🏿🤝🏿🤝🏿
 
🤝🏿🤝🏿🤝🏿Jambo jema sana...

Kuna mambo sio hata ya kufuata mkumbo bali kutenda kile kinachokusukuma moyoni

Kuna msemo unasema kutoa ni Moyo ni sio utajiri... Kwa hiyo nafasi uliyonayo na kwa kile kidogo ulichonacho basi inatupaswa tufanye kwa nafsi/upande wetu(kucheza nafasi yake) kulingana na uwezo, na si kuangalia wengine au kusema mbona kuna matajiri basi matajiri watamsaidia.
 
Mkuu ni maamzi kuna watu huwa wanajitoa sana kwenye michango hadi wanajinyima hata kula vizuri ama kuvaa vizuri kwa ajiri ya kutoa lakini hela isipofika kama ilivyochangwa inauma sana.Haya huwezi elewa kama wewe sio kiongozi na ukiwa kiongozi mla hela utaona kawaida tu kunyonya waumini wenzao.
 
Wanasiasa hawamuachii Mungu wanajipa madaraka, Nyumba za ibada hazimuachii kukusanya SADAKA ..na mimi niko vitani kipande Cha keki yangu nataka" ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…