Jamani kitaa ni kigumu sana, ukikutana na watu wa namna hii usiache kutoa msaada

Wee ni kuhani au sio....sadaka ni sadaka,inatakiwa kumpatia mwenye iwitaji na ni ziada ndo maana ya sadaka,makuhani kuna fungu lakumi watakulamo huko
 
πŸ™πŸ™
 
Mmegusia wasajili laini πŸ˜” hawa watu wanapitia magumu sana! Juzi kuna mama mmoja alimnunulia viatu dada msajili laini maana sio kwa taabu zile πŸ˜”
Wa kike wanadharau sana hata ukimuomba namba badaye hajibu sasa mtu wa hivyo ni mwema kweli
 
Hongera sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…