Jamani kosa langu lipi hapa

Kama umetumia busara kumueleza mumeo na hataki kukuelewa basi njia fupi ya kumaliza tatizo ni kumsifia huyo jamaa ukikaa mumeo.
Msifie sura yake nzuri, sauti yake unaipenda, anamvuto sana hakuna mwanamke mwenye jeuri ya kumkataa, yaani msifie kwelikweli mpaka mumeo ajione yeye sie lolote.
 
Kuna watu wa ajabu kweli,yaani una kazi yako umeondoka kwenu ili ukajitegemee halafu kila siku unakula kwa rafiki yako?
Sasa kama hukuwa tayari kubeba changamoto za kuishi kibachela kwa nini uliondoka kwenu?
Kuhusu mumeo mimi sioni tatizo lake nahisi tu namna ya uwasilishaji wa taarifa haukuwa wenye afya,na inaonekana jamaa ni kati ya wale wasiopenda lawama anaona kabisa ataonekana ana roho mbaya kwa jamaa yake,na hata kama ungemwambia before still asingepata uwezo wa kumchana mshikaji wake.
By the way wewe tulia tu ujumbe ameshaupata mumeo atachukia lkn mwisho wa siku ataelewa na maisha yataendelea,mpe muda.
 
Hzo Kaz anazo fanya Ni za mme wako ama kila mtu na shughuli yake
Sijajuwa kosa lako ..ila yule kjn Ni mpuuz tu kula kula kwa watu Ni upuuz tu fln
 
Au Kama unakukera mtengenezee zakata ila umeshachelewa ungeletaga uzi huku tukupe mbinu ya kumtoa hapo
 
Mumeo nae Analeta upumbavu tu, Anashindwaje kuelewa kitu cha Msingi kama hiki otherwise wewe uwe umeandika kujipendelea upande wako na Labda Kuna Kosa Umefanya nje ya Hayo maelezo ila kama hujaongeza chumvi basi Mumeo ametoa boko katika hili

Wewe Umeatukia mchezo mapema Simama imara usizembee Binti akishaingiliwa kapoteza heshima yake. Hii ni kwa wale wanaojua kwanini Mwanamke ameumbwa akiwa Bikra

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwanaume ni wa kabila gani tena
 
Ongea na Mmeo mana huyo ndio mwakilishi wako na ukizingatia huyo ni rafiki wa mmeo not you, fikisha dukuduku lako kimahaba kwa mmeo then utanipa majibu.
 
Kuna uwezekano kijana ni mke mwenzio au wewe umeolewa na mumeo ambaye naye kaolewa na kijana...
 
Hujakosea, kakasrka huenda kuna mabomu yake alishayategesha umemuharibia.
 
Mpe mzigo kabisa ale kimasihara ndio atatia akili huyo mumeo
 
Siku zote mambo ya ndugu/rafiki wa mumeo.. mshirikishe yeye ndio awaambie ama akupe kibari Cha kuwaambia. Utapona.
 
Nadhani Mume wako kachukia kwa kuwa ulimwambia muhusika direct. Ingekuwa busara kuongea na mumeo kisha yeye ndio azungumze na huyo kijana.
Uko sahihi kuchukua tahadhari ila hukutumia busara kufikisha ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…