Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Inawezekana KE anateseka na ameamua kuendelea kukaza AU yuko na furaha huko alipo hatujui...

Msaidieni Mwanaume mwenzenu BAK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo magumu aisee haya especially kama KE hajamwambia mwenzie nini tatizo kakata mawasiliano na hata nyumbani kwa jamaa hataki kutia mguu. Hapo ME inabidi akubali tu hali halisi na kumove on. In two years the same lady will try to search for him and to let him she was wrong!!!
😳😳😳 ALIKURUPUKA!!!


Inawezekana KE anateseka na ameamua kuendelea kukaza AU yuko na furaha huko alipo hatujui...

Msaidieni Mwanaume mwenzenu BAK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazoea yanakuponza kaa mbali na simu na namna yeyote ya kuwasiliana nae baada ya siku 3 mpka 7 utakuwa umepona na maisha yatarudi kama mwanzo kabla hujajuana nae...
La sivyo hata kazi utaharibu kwa msongo wa mawazo shauri yako take it from me
 
Inategemea..
Kama ni aina ya KE wanaolinda EGO zao atakuwa yupo tayari aumie tu mwisho wa siku yatapita ila hawezi kurudi.. Haya mambo bhana[emoji114]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na jamaa kishamezeshwa sumu hivyo mpenzi wake mwingine si ajabu hatapata penzi la kweli kutoka kwake kwa kuhofia atatendwa tena. Ukishaumwa na nyoka ukiona unyoya machale yanacheza.

Inategemea..
Kama ni aina ya KE wanaolinda EGO zao atakuwa yupo tayari aumie tu mwisho wa siku yatapita ila hawezi kurudi.. Haya mambo bhana[emoji114]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kuacha sio rahisi, ila kama kweli unayo nia basi chaguo ni moja tu
Mkaushie, usimtafute kwa meseji wala kwa simu hata mtandaoni

Akikutafuta usijibu chochote,endelea na maisha yako tu,
Usipofanya hivyo njia nyingine utakayotumia itakua na athari kwenu wote na mchakato wa kuachana huenda ukachukua muda mrefu zaidi.
 
Ni kipindi Cha mpito tu, utasahau na maisha yanaendelea.

Swali la kizushi......kati ya huyo CHUDA wako na mama yako mzazi ni nani unampa hela nyingi? Tafakari kisha chukua hatua
 
Kishampata anayemliwaza, wewe zilipendwa.....hujuwi kusoma alama za nyakati kijana?
 
Yan hakuna namna ni kumwacha tu na ukianza mpotezea ataanza rudi yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…