Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Inawezekana KE anateseka na ameamua kuendelea kukaza AU yuko na furaha huko alipo hatujui...Ni kweli hilo linawezekana lakini si sababu ya kukaa kimya na kuharibu penzi. Ni kukaa chini kuongea na kumwambia kosa alilofanya na yeye aeleze upande wake au kama anaona amekosea basi aombe samahani ili penzi liendelee. Jamaa mpaka kafikia kuharibu kazi ni dalili tosha alimpenda sana mpenzi wake. Mrembo kaamua kula ngumu japo naye si ajabu anateseka au yuko busy kwenye penzi jipya. Au nakosea Mark Window? [emoji12][emoji12][emoji12]
Msaidieni Mwanaume mwenzenu BAK.
Sent using Jamii Forums mobile app