Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

mwambie afanye kile ambacho moyo wake unapenda coz kama ataamua kufunga naye ndoa ni yeye atakayeishi na huyo mwanaume so she need to take time and think critically
 
Haaha,ushauri ni kumuacha tu uyo jamaa,sijui mengi sana,bt najua adha ya mwanaume asieyeelewa mwanamke anataka nin kitandani,ni kerooo,esp wale wanaopenda kuvamia K bila maandalizi yoyote

Well said! Akimbie mapemaaaaa kuishi na "mwanamke" mwenzio ndani ya ndoa inahuuuu!
Maisha ni mafupi, si ya kujaribiwa eti kuishi kwa kusononeka for the rest of your life! Haikubaliki!!
Atapata wa kumfikisha wapo wengi tu!
 
Huyo shoga yako naye mdaku, mtu hamfikishi miaka yote alikuwa hajui? Ndiyo anajua leo? Siamini kama hiyo ndiyo sababu, mimi mwezi moja tuu, huwezi nakupotezea usinipake shombo!
 
 
mmh.tunatofautiana jamani.wengine kuingiziwa tu uume ni kero ni vile tu tumeolewa hatuna jinsi leo mtu analalamika hapewi vya kutosha??ni bora atafute mwenye uume mkubwa zaidi labda ataenjoy
 
miss chagga ni ngumu kuamini kwa watu waliokaa kwenye uhusiano kwa miaka mi 5 eti leo ndio hayo yamshnde.. Sababu ya ung'ang'aniz haina mashko kwa mapenz ya miaka mi 5 labda akupe nyngne...bestiyo anaonekana ni ngono addict wakati mwenzie haoni kama ni kitu cha kuendekeza... Shostito wako hapo pashamshnda akusanye virago vyake achape lapa.
 
Last edited by a moderator:
Huyo shoga yako naye mdaku, mtu hamfikishi miaka yote alikuwa hajui? Ndiyo anajua leo? Siamini kama hiyo ndiyo sababu, mimi mwezi moja tuu, huwezi nakupotezea usinipake shombo!

maswala ya long distance relation hayo ............ sasa rafiki yangua alijua atabadilika ah wapi tena siku zinavyozidi kwenda ndo inavyokuwa worse...... jamaa anataka ndoa tu nw
 
ayaa nitamwambia.........
 
 
maswala ya long distance relation hayo ............ sasa rafiki yangua alijua atabadilika ah wapi tena siku zinavyozidi kwenda ndo inavyokuwa worse...... jamaa anataka ndoa tu nw

Kiufupi ni kwamba she is not happy! Hakuna namna ya kuishi na mtu usiyemfurahia katika ndoa! Aachane naye, asonge mbele! Kijana wa watu atapata wa kufanana naye asiyependa kugegedwa!
 
Wewe uliyeleta hii mada umeolewa? leta suala la mahusiano yako na ww tuyajadili uclete ya wenzako tu! huyo shoga yako huenda akawa si mkweli ila tu kamchoka man wake na kama suala ni la kitandani tu aseme vizuri tupo vidume tunacheza masaa mawili bila off time
 
kugegedana sipendi pesa muhimu loh!!!!!!!!!!! kwa hilo nahisi sijapotea nitajenga uchumi

Hahaha!!! hivi una umri gani kwanza? maana nahisi kama nashuhudia maajabu ya nane ya dunia.

Sasa kama hupendi kugegedana, na wakati huo huo wapenda pesa...kwa nini usitafute hiyo pesa kwa kufanya kazi, biashara?

Huoni kama kutegemea mwanaume/wanaume kupata hiyo pesa ni kama umalaya(sorry kwa matumizi ya neno hili) fulani?
 
no no no jamani watu8 nikisema napenda pesa si maanishi nategemea mwanaume anipe pesa......... namaanisha mda wa kuzungushana na mwanaume bora nifanye kazi mda huo.......... na pia kama mwanaume akija kwangu lazima nimpe ukweli kuwa me kugegedana sipendi ila kama anapesa tufanye maisha na si kuweka mbele kugegedana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…