Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 449
- 990
Mzee baba maisha ya kuajiliwa nimeyachoka nataka nichukue maamuzi magumu kuajiliwa unaishia kupata hela ya kula tuuTatizo kubwa la watu mlioajiriwa mnataka kula kote kote, kwa stahili hiyo kutoboa ni ngumu sana.
Amua kufanya kitu kimoja, endelea kula mshahara au njoo mtaani upambane. Mbali na hivyo utaishia kupata hela ya kula tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
umeleta uteam tu😂
na sio kama anaekushauri wote hawana stress ila anakushauri kutokana na uzoefu wake alivyopitia ila kila mtu anastress zakeBongo Ukiomba ushauri tu kwa watu basi hapo tegemea hadi walio na stress zao nao watataka kukushauri
Nimesema tu wakuu kama nimekosea naomba msamaha
"Hata siku ni zawadi kutoka kwa mungu"
unakunywa pombe?Mambo vipi wadau,
Mimi kijana nafanya kazi sehemu moja ila mshahara wangu mdogo ila unagawanyika sana naona kabisa mshahara haujitoshelezi. Nimeandika huu uzi kwa wale wajanja mjini tupeani basi code nasi tufanye hizo harakati tutoboe wote maisha kiukweli hela ya kutegemea mshahara ni mateso sana.
Kama una mchongo mzuri tuambieni ila sio wale business networking huko pasua kichwa maana kuna ndugu yangu alishawahi kufanya mwishoni kaishia kuacha tu na kawa maskini.
Tusaidieni na mimi nimiliki nyumba na magari
Sent using Jamii Forums mobile app
What wrong with youna sio kama anaekushauri wote hawana stress ila anakushauri kutokana na uzoefu wake alivyopitia ila kila mtu anastress zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una eneo kubwa, lima bustani ya mboga mboga, kama mchicha, chinese, maboga, makunde, matembele
Wateja wako ni
Mama ntilie au hotelini, huwa wanachukua oda kubwa hawa,
Majumbani( individual)
Waranguzi
Magengeni
Etc.
Additional efforts hapo, ni wewe tu kuongeza dhamani ya mboga zako.
Kazi kwako mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mboga za majani unaweza kuongezaje thamani mkuu? Au kuweka na spices kama nyanya nk? Tufungue hapa pia
Packaging
Branding
Promotion
Vitu kama hivi
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona ulivyo tikisa kichwa kwa hurumaSawa sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama nakuona ulivyo tikisa kichwa kwa huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuuKatika kutafuta fursa anza kuangalia jamii inayokuzunguuka mahitaji yao ni yapi, katika hizo fursa anza na unayo ipenda kuifanya zaidi iwe rahisi kuongeza ubunifu.
Mkuu umemaliza kila kitu...mleta mada tayari ana nyenzo ya kupatia mtaji kazi kwake...Mshahara haujawahi kutosha na hauto kuja kutosha kwasababu ukiongezeka na matumizi huongezeka automatically
Kipimo cha akili yako ni kutafuta wazo mbadala la nini cha kufanya then ukisha jua nini ufanye ndio utafute mtaji kupitia huo mishahara wako mdogo ukiweza utakua man of the match na ukishindwa ujue akili yako bado haiwezi kukabiliana na changamoto
Sent using Jamii Forums mobile app