Jamani mnaingizaje hela kwa siku? Tupeane hiyo michongo

Hata hiyo mifano ikitolewa bado utaonekana ni utapeli kama utapeli mwingine, ndo mana kuna watu wanapiga kimya kimya mzee.
 
hii ni Dom km ckosei!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
enyimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ni imani mkuu. Ukifungua duka siku moja usitegemee ndani ya mwezi tayari wateja wote watakuja kwako.
Kabisaaa,nilifungua ofis ya uwakala mwanzon kamishen walikua wanapata elfu 60 mpk laki lkn kwasasa wanapata mpk laki 9 per month

Point ni uvumilivu na imani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee lete mchongo tufanye mm naacha kazi sio porojo tu
 
Sijui nikushauri nn lkn aisee ukiajiriwa ni ngumu sana kuona fursa....anyway tafuta mtaji huko kwenye ajira wekeza kwenye industry kama za chakula,usafirishaji was abiria na mizigo.....hizi zinaflow kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe iyo fursa nifanye au wewe si ujaajiriw umeona fursa ngapi weka hapa tufanye na sisi tutoke kwenye mambo ya kuajiriwa
 
Mkuu hii biashara naitamani ila siifahamu kiundani ABCs zake.
Kwa mfano mtaji unaohitajika ni kiasi gani?
vibali gani vinahitajika?
Soko lake lipoje na linapatikanaje?
Ushindani wake upoje mitaani?
 
Fanya biashara ndogo ndogo,Kama vile kuuza,ice cream,maandazi, au sambazia watumishi kweye ofisi zao vitafunwa Kama vile mikate Kama Hana cash mkopeshe baada ya siku tatu, pia upatapo mshahara nunua mahitaji ya chakula kwa mkupuo ili usichukue pesa ya biashara!

Hakikisha pesa hugawi ovyo kwa wategemezi wako hata hiyo biashara tumia faida baada yamwezi!
 
Portable toilets / mobile toilets zinakodishwa kwa ajili ya shughuli zote za wazi kama harusi, misiba hata kwenye maafa pia vinaweza kutumika.

Bei zetu ni kuanzia 150, 000 kwa siku
Karibuni sana.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0768 333 953

Au email kwenda. ....hassandkikstoilets@gmail.com

Asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…