Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

hainaga aibu hiyo hali, weka wazi usaidiwe utaumbuka ukijibana, jiachie tu hainaga silent mode hiyo ni kama kelele za mgegedo apo jirani chumba cha pili, haiwezikani kuwa silent šŸ’
Nilitaka nikutag uone wanavyotania jina lako huku 🤣🤣🤣🤣
 
unajifanya kama upo jangwani tuu sura ngumu na ujirani unashuka mpaka 2%
 
Ndio maana wakati wa kudesign nyumba unatakiwa kuwa makini, wapi public toilet ikae, wapi master bedroom ikae..nk. sio unafurahia na mama chumbani sebuleni watu wanashika midomo.
Watu wanazungumzia nyumba za watu wengi Uswahilini wewe unazungumzia design za Masterbedroom.
Ni mfano wa watu wanalia na uhaba wa mikate unawashauri wanunue na kula keki!
 
Back
Top Bottom