Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Ni aibu na ubakaji mkubwa wa ELIMU!Naona hao uliowataja hata kutumia hiyo taito wanashindwa km Tale, na msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu na ubakaji mkubwa wa ELIMU!Naona hao uliowataja hata kutumia hiyo taito wanashindwa km Tale, na msukuma
Tena waliofeliHiyo shahada ni ya Marais wa Kiafrika tu.
Kwa hiyo huwa unapiga tu bila kuangalia wala kusikiliza..?Sina muda.
Jaribu kuwa mtu kamili ktk maisha yako hata ingalau mara moja moja ktk occasions fulani fulani...Zitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Na wewe nikuitaje sasa?…Tukuiteje hasa? Tukupe jina gani likufaalo kwa sifa hiyo..?
Mjinga? Mpumbavu? Au...?
Jichagulie moja kati ya hayo🚶🏻🚶🏻🚶🏻
Wenye laana wanamwombea kifo, hakika nabii hakubaliki nyumbani kwake. Sisi Tz hatuoni madini aliyonayo, hata akitushauri vizuri akili zetu(hasa ile rangi ya inzi wa kijani) wanawaza kuiba kura tu.Watu kama Tundu Lisu, wangekuwa nchi ambazo hazina uchawa angepewa phd ya heshima, huyu ni tunu ya Taifa, kichwani yupo vzr, lugha yupo vzr sana, speaking skills yupo vzr sana huyu ni hazina ya taifa letu pendwa la Tanzania.
Leo kamchambua Mwl NYERERE katika harakati za kuleta ukombozi kusini mwa jangwa la sahara, wazungu na wasomi mbalimbali katika chuo kikuu cha Makerere wamebaki wanatikisa kichwa tu!
Mungu mbariki Tundu antipas Lisu aishi miaka Mingi by mwinjilist wenu Gabeji.
Mtu unaitwa mavi ya punda utawaza nn zaidi mavi?. Toka hapaZitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Tena waliofeli
Kabudi c alitolewa JALALANINadhani kidogo Prof Kabudi Palamagamba, January Makamba na Humphrey Polepole...
Hawa jamaa watatu wako vizuri kichwani.
Ni kwa sababu tu wako ndani ya mfumo corrupt wa CCM ndio maana wanaonekana wajinga...
Tukubali tu kuwa, CCM ni mfumo ambao unaharibu akili na ufahamu wa vijana wengi kwa faida ya vitu vya mwilini zikiwemo pesa....
Lakini kuna fisadi wa elimu mmoja, mwizi wa mitihani na mnunua vyeti vya watu wengine aitwaye Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hujaribu kujilinganisha na Tundu Lissu na siku moja eti akaropoka tu kuwa ndiye aliyemfundisha siasa Tundu Lissu
Haa haa 🤣🤣🤣, Makonda kituko kwelikweli...
Kabisa mkuu, Tundu is a gifted manWenye laana wanamwombea kifo, hakika nabii hakubaliki nyumbani kwake. Sisi Tz hatuoni madini aliyonayo, hata akitushauri vizuri akili zetu(hasa ile rangi ya inzi wa kijani) wanawaza kuiba kura tu.
Kabisa mkuu, watu wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweliJaribu kuwa mtu kamili ktk maisha yako hata ingalau mara moja moja ktk occasions fulani fulani...
Kwani kuna binadamu gani ambaye yuko perfect asilimia 100? Kila binadamu ana pande mbili, upande wa mazuri yake (strength side) na upande wa mabaya/udhaifu wake (weakness side)...
Tundu Lissu katika bunge lile la katiba, alichofanya ni kuelezea upande wa udhaifu wa Hayati Mwl Julius K. Nyerere ambayo hata mwalimu mwenyewe ktk kitabu chake alichoikiandika alipokuwa angali hai kiitwacho "TUJISAHIHISHE" anakiri kuwa ktk uongozi wake wa miaka takribani 24 ya U - Rais wake amefanya mengi mazuri na amefanya makosa au mambo ya hovyo mengi tu pia...
Sasa kwanini wewe mtu akiamua kuelezea madhaifu yako unaanza kulia na kujitetea kuwa "unadhalilishwa" au "unakashifiwa...?"
Mtu yeyote asiyekubali kukosolewa, tafsiri yake ni kuwa, mtu huyo ana kiburi na kiburi humwongoza mtu kwenda mautini...!
Acha kiburi, kubali kuwa huwa unakosea pia na kwa kuwa huwa unakosea, basi utakosolewa tu na watu wengine..!!
Alikuwa anahutubia au anasoma?"Bahati mbaya" Lissu akihutubia hata uwe mjinga kiasi gani lazima utamuelewa tu, lazima
Wapi nimekulazimisha!!??Unanilazimisha nikuunge mkono?
Kila mahali.Wapi nimekulazimisha!!??