Jamani mpeni Tundu Lissu PHD ya heshima jinsi alivyomwelezea vizuri Mwalimu Nyerere huko Uganda

Zitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Jaribu kuwa mtu kamili ktk maisha yako hata ingalau mara moja moja ktk occasions fulani fulani...

Kwani kuna binadamu gani ambaye yuko perfect asilimia 100? Kila binadamu ana pande mbili, upande wa mazuri yake (strength side) na upande wa mabaya/udhaifu wake (weakness side)...

Tundu Lissu katika bunge lile la katiba, alichofanya ni kuelezea upande wa udhaifu wa Hayati Mwl Julius K. Nyerere ambayo hata mwalimu mwenyewe ktk kitabu chake alichoikiandika alipokuwa angali hai kiitwacho "TUJISAHIHISHE" anakiri kuwa ktk uongozi wake wa miaka takribani 24 ya U - Rais wake amefanya mengi mazuri na amefanya makosa au mambo ya hovyo mengi tu pia...

Sasa kwanini wewe mtu akiamua kuelezea madhaifu yako unaanza kulia na kujitetea kuwa "unadhalilishwa" au "unakashifiwa...?"

Mtu yeyote asiyekubali kukosolewa, tafsiri yake ni kuwa, mtu huyo ana kiburi na kiburi humwongoza mtu kwenda mautini...!

Acha kiburi, kubali kuwa huwa unakosea pia na kwa kuwa huwa unakosea, basi utakosolewa tu na watu wengine..!!
 
Wenye laana wanamwombea kifo, hakika nabii hakubaliki nyumbani kwake. Sisi Tz hatuoni madini aliyonayo, hata akitushauri vizuri akili zetu(hasa ile rangi ya inzi wa kijani) wanawaza kuiba kura tu.
 
Zitafute hotuba alizokuwa anatoa kwenye Bunge la Katiba kumhusu Nyerere na alivyokuwa akimtuna na kumdhalilisha ndio utajua kwamba Lisu dishi limeyumba na hajui anasimamia wapi. Kwa ufupi ni kigeugeu na mfuata upepo.
Mtu unaitwa mavi ya punda utawaza nn zaidi mavi?. Toka hapa
 
Kabudi c alitolewa JALALANI
 
Wenye laana wanamwombea kifo, hakika nabii hakubaliki nyumbani kwake. Sisi Tz hatuoni madini aliyonayo, hata akitushauri vizuri akili zetu(hasa ile rangi ya inzi wa kijani) wanawaza kuiba kura tu.
Kabisa mkuu, Tundu is a gifted man
 
Kabisa mkuu, watu wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…