Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu




Kitu chochote kinavutia, hata mjusi msafi anavutia.
 
@Tate Mkuu shida iko wp hapo, MIMI binafsi siwez hata kukaa na Rafik mchafu asiyeoga
Dah! Basi nikutakie tu maisha mema katika hayo maisha yako mapya uliyo jichagulia mwenyewe.

Jitahidi pia uwasiliane na huyu binti cocastic, ambaye ni mtetezi wenu humu jukwaani, ili akupe mwongozo wa namna bora ya kupambana dhidi ya unyanyapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…