Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

Dah! Basi nikutakie tu maisha mema katika hayo maisha yako mapya uliyo jichagulia mwenyewe.

Jitahidi pia uwasiliane na huyu binti cocastic, ambaye ni mtetezi wenu humu jukwaani, ili akupe mwongozo wa namna bora ya kupambana dhidi ya unyanyapaa.
Mie ni Katibu Muenezi wa Alphabet Barani Africa.
Kadi zipo za kushato, km kuna wanachama wapyaa niletee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila waja mnayawezaaa.
 
Kutokana na taarifa za kiintelijensia! Na hii ni baada ya kushirikiana na taasisi nyeti za upepelezi duniani; nimethibitisha pasipo na shaka!
cocastic ni binti wa Kimatengo.
Ogopaa matapeliiii, hakuna anayejua mie nina kikojoleo gani, au nakojoa kwa kusimama au kwa kuchuchumaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huyo intelijensia yako kaa nayo upyaa.

Afu mbna tulisha kubaliana mie ni ALPHABET.
 
Jichanganye tu uje ulishwe donati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shogaa angu nilitaka nikuitee, utoe neno,
Maana wee usipotoa neno kunihusu, hapanaa badoo haijaeleweka.

Tatizo huwapii uthibitisho wa madai yako, ndo maana hawakuaminii, raha ya umbea uwe na evidence shostieee.

Unakwamaaa wapiiii??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tate Mkuu ajichanganye tu adhani wewe kajike 😁
 
😒 Wtf
 
Mwanaume unapendeza ili ule pisi kali??? Hii haija kaa sawa, pendeza wewe kama wewe mkuu....
 
una anza kujishushia heshima yako mwenyewe kwa heshima uliyo ijenga miaka buku iliyopita hapa j forum
 
Mm nilijuwa baada ya ule Uzi wako kuomba mods waondoe na wafute nyuzi zako zote utakuwa na akili timamu kumbe si hvyo
 
Hakika!.

Ule uzi wako wa kutamani kuzaliwa mwanamke ulitoa red flags.

Huu unathibitisha kuwa wewe ni Bwabwa.

Yaani mwanaume unavutiwa na wanaume wenzako? Wewe itakuwa walikufukuza ualimu kwa sababu ya mambo ya kishoga..
Kama walimfukuza walifanya kosa sana, ushoga ni hisia so kila mtu anahisia zake si vzr kuingiliana kwenye mambo ya hisia ili mradi hakeri mtu
 
Mbona huwa unawatukana sana walimu.
Sasa kwa akili hizi si Bora hata Mwalimu wa Chekechea aisee..🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…