Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Jamani Nampenda Smile Naogopa Kumwambia

Me Naendesha PAJERO MMC Inter cool ni langu
 
hahaaaa kama kulewa tulilewa wote,inabidi na mie nizimwage hizo radhi tu......

Khaaaa! Afu wewe si kuna mtu alikuanzishia thread pia anakuzikia. Mliishia wapi?

Mi nataka jiko la peke yangu si lile ambalo kila mtu anapikia. Mi mwislamu swafi sasa kama kuna mtu anapika kiti moto mi itakuwaje chakula changu nami haramu sili?

"Alakini ukumbuke kisima cha ugenini hakitekwi maji"
 
haya bana, kila la heri kwenye mapenzi yenu.....roho inauma lakini no way out

roho isikuume Mokoyo,tunadiscuss mambo ya kawaida tu....

ila nilikuuliza kuhusu nyendo zako kwa yule mdada ulinijibu kweli
 
Last edited by a moderator:
Khaaaa! Afu wewe si kuna mtu alikuanzishia thread pia anakuzikia. Mliishia wapi?

Mi nataka jiko la peke yangu si lile ambalo kila mtu anapikia. Mi mwislamu swafi sasa kama kuna mtu anapika kiti moto mi itakuwaje chakula changu nami haramu sili?

"Alakini ukumbuke kisima cha ugenini hakitekwi maji"

1.mapenzi ya JF yanaishia hapa hapa tu..

2&3.umeweka misemo mingi kama tulikuwa tunaelekea moro basi umeniacha chalinze
 
kama hujui kutongoza tangaza dau,makuwadi wafanye yao c biashara za kuombana cku hzi!tena wapo wengi tu cku hzi mjin!!
 
Back
Top Bottom