Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi cna magari ila nina hela na Nyumba
Khaaaa afu wakati namwaga radhi na wewe utamwaga! Maana nikivua magwanda yangu haya ya Usupamani ni balaa unajua!
Unaulzia ipi!? ya bongo, New Jersey au Uswisi... teh teh...
KIUKWELI NINAMPENDA NATAKA NIMVISHE PETE YA UCHUMBA ILI AAMINI NINAMKUBALI, NIFIKISHIENI UJUMBE WAPENDWA AU MNIPE ATA No. yake
Afadhali sasa nimekuona. Uuuuuuupss
Mwanaume asio jiamini sio mwanaume
najikaza hivo hivo,ila nakuhitaji kule sana my king........:help:
jamani nifikishieni ujumbe kwa Smile me nampenda nataka awe mke wangu. ila naogopa kumwambia. huu ndio black
hahaaaa kama kulewa tulilewa wote,inabidi na mie nizimwage hizo radhi tu......
haya bana, kila la heri kwenye mapenzi yenu.....roho inauma lakini no way out
mimi cjui kutongoza
Khaaaa! Afu wewe si kuna mtu alikuanzishia thread pia anakuzikia. Mliishia wapi?
Mi nataka jiko la peke yangu si lile ambalo kila mtu anapikia. Mi mwislamu swafi sasa kama kuna mtu anapika kiti moto mi itakuwaje chakula changu nami haramu sili?
"Alakini ukumbuke kisima cha ugenini hakitekwi maji"
jamani nifikishieni ujumbe kwa Smile me nampenda nataka awe mke wangu. ila naogopa kumwambia. huu ndio black