Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtumie hata kavocha ka 50,000...
Tafadhari... Asije akawa haonekani halafu ukajipendesha wewe....Smile my dia uko wapi!!!!!!
ahahaaaa
sipendi na sitaki kusikia habari za wanaume we kijana....
mwambie mi simtaki bwana
Jf inapoelekea cpo kabisa,watu na pumbuzetu tumehama kule facebook {kwa watoto vikojozi} tuje huku kwa kina Lara1,Mzizi mkavu,na wengne wanao jielewa, ajabu nyie watoto mna 2pandisha nyege2,embu acheni izo mambo bna eboo.!!
nipo dear ila sina time na mambo haya ya wanaume mie...waaaai
Sasa hapa si ushamwaga mchele kwenye kuku wengi hahaha wewe hujatuliajamani nifikishieni ujumbe kwa Smile me nampenda nataka awe mke wangu. ila naogopa kumwambia. huu ndio black
ha ha ha we dada leo unarusha majibu ya uhakika nabaki nikicheka tu hapa:smile-big:ungekuwa umekufa,ungeweza hata kuandika ulichoandika!!!!!!!
Ulimtoa nduki huko PM nn au umemblock kabisa ndo akaona suluhisho akuanzishie uzi....sipendi na sitaki kusikia habari za wanaume we kijana....
kwaiyo unanichinjia baharini[/QUO
aiseee.