Jamani naomba kuuliza mchange wa ccm anaakili timamu au ni dishi lililoacha dawa kama machawa wa ccm wengine wakiwa humu jf?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Kama kichwa Cha habari kilivyo hapo juu, ndugu zangu hapa namaanisha those with sober mind na sio machawa nimemsikiliza mtu anaitwa mchange online tv anasema Mnyika hakugombea ubunge 2015 Kwa kuwa hakukubaliana na ujio wa Lowassa sasa swali langu ni je huyo jamaa mchange akili zake ziko sawa au ni dishi kama walivyo wengi wao huko ccm? Take note that mimi nafahamu Mnyika aligombea Jimbo jipya la Kibamba na kuwa mbunge kuanzia 2015 hadi 2020. Naomba majibu tahadhari.
 
Ccm wanakubali vipi mambo kama haya je hawaoni wanazidi kufifisha swala la maridhiano?
 
Kama kichwa Cha habari kilivyo hapo juu, ndugu zangu hapa namaanisha those with sober mind na sio machawa nimemsikiliza mtu anaitwa mchange online tv anasema Mnyika hakugombea ubunge 2015 Kwa kuwa hakukubaliana na ujio wa Lowassa sasa swali langu ni je huyo jamaa mchange akili zake ziko sawa au ni dishi kama walivyo wengi wao huko ccm? Take note that mimi nafahamu Mnyika aligombea Jimbo jipya la Kibamba na kuwa mbunge kuanzia 2015 hadi 2020. Naomba majibu tahadhari.
Mimi sina shida nae sana shida yangu ni wale anaowasemea wanakubali vipi kutetewa na watu wa namna yake na kina Mwaipopo?
 
MCHANGE zito kitila mwigamba ? Hii NI tem MASILAHI wao tumbo Kwanza mengine fanyeni nyinyi.
 
Back
Top Bottom