Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda Kyela lenye jina la Kyela Express.
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea.
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abiria mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea