Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Pole Sana if I'm not mistaken watamfaulisha Ila wapiga debe na mawinga wanachanganya Sana stand

Kama hauwezi kukata ticket online nenda ofisini ukutane na muhusika
Ndiyo kosa alilolifanya na nilimuelekeza vizuri kabisa,inaonekana hilo basi ni bovu yale ya kupakia abiria kila kituo
 
Piga simu LATRA
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Song
 
Kibaya zaidi wanampa Tiketi ya kalatasi ambayo hata ukipata ajali haitambuliki na Bima inasikitisha sana,
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Gari yenyewe ni number G 987 AWY
😅 😅 😅
 
Waombe msaada Tanpoltz
 
Amekatia wapi Ticket?
 
Nitajie basi gani la songea wanakata online
chrome_screenshot_Jun 5, 2025 6_37_55 PM GMT+03_00.png
 
Back
Top Bottom