Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Si huwa mnasema elimu haina umuhimu? Angalia darasa la saba alivyopigwa kiboya. Dunia ya leo unatapeliwa tiketi?
Usilolijua sawa na usiku wa giza kumbuka hizo tiketi wamekatiwa ofisini
 
An
Kwenye stendi zote kuna madalali tena wananjaa sana.
Ukitaka kwenda sehemu yoyote, wewe chagua basi unalotaka kwenda kisha nenda moja kwa moja watakuuliza unaenda wapi sema sehemu halisi halafu sema bei ya nauli pungufu. Utafika salama utakapoenda
Anasema alipelekwa Ofisini
 
Sasa kwanini ukahangaike na gari usiyoijua , Kaa home kata ticket nenda na msg tu.
Online Kuna maning nice na sama .
Selous bado yupo Karne ya tisa
Mkuu, msingi wa swali ni kuwa sio kwamba mabasi yote yapo online na pia sio kwamba kila mtu ana simu ili akate online. Hata Abood kwenda Moro, ukifika pale wanakukatia tiketi wao wenyewe. Sasa hapo, hao Kyela wanawezaje kubeba mtu kwenda Songea wakati basi lao haliendi huko? Si wamrudishie nauli atafute basi lingine
 
Tiketi wamemkatia ofisini tena ya kalatasi na kumwambia gari lao linaenda Songea amekuja kugundua yuko ndani ya basi kujua kwamba linaenda Kyela na hata alipoomba msaada hakupata tena msaada wowote zaidi ya kuambiwa atapelekwa Songea,sasa si unajua wanawake tena safari zenyewe za mara moja kwa mwaka anajikuta hana la kufanya
 
Haliendi. Na kama wewe unavyoshangaa, ndivyo Kyela Express walipaswa kushangaa kuona wamepata abiria anayeenda Songea. Wangerudisha nauli
Yaani kilichofanyika ni utapeli
 
Haliendi. Na kama wewe unavyoshangaa, ndivyo Kyela Express walipaswa kushangaa kuona wamepata abiria anayeenda Songea. Wangerudisha nauli
Huo ni wizi tu , pale mbezi ni kero tu. Kwangu Mimi nakata ticket basi likiwa machoni kwangu la sivyo ni online hakuna cha kudanganyika na ofisi
 
Wakati mwingine tumia mifumo hii hapa usitapeliwe...

Screenshot_2025_0605_192641.jpg

Screenshot_2025_0605_192200.jpg
 
Yeye kipofu alikua haoni
Usimshangae. Kuna masalange ving'ang'anizi sana huenda wamemchota akachoteka.

Ndio mambo Mimi hua nakataa, siwezi kutoka kwangu na nia ya kwenda mkoa fulani halafu nifike stendi nikute mtu aombe kunisindikiza kukata ticket, wkt ofisi naziona.
 
Ningekua namiliki bunduki ningekuawaga nawatolea pale pale stendi aisee wanakera hao washenzi
 
Huo ni wizi tu , pale mbezi ni kero tu. Kwangu Mimi nakata ticket basi likiwa machoni kwangu la sivyo ni online hakuna cha kudanganyika na ofisi
Pale matapelii balaaa kata ticket ofisi za Bus husikaaa.. Na gari iwe inafahamikaa kampuni yake mfano Abood..Tilisho sijui New force usikate ticket gari ambalo ndo kwanza umelisikia siku Hiyoo nasema USIJARIBUU bora uache kama gari unazozijua zimejaaa.
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Mkeo hazijui gari za kwenda Songea?

Hapa Duniani ndio maana matapeli hawaishi kuna watu wanashawishi sana kuibiwa.
 
Usimshangae. Kuna masalange ving'ang'anizi sana huenda wamemchota akachoteka.

Ndio mambo Mimi hua nakataa, siwezi kutoka kwangu na nia ya kwenda mkoa fulani halafu nifike stendi nikute mtu aombe kunisindikiza kukata ticket, wkt ofisi naziona.
Wale wapuuzi ukiwasikiliza Umekwishaaa yani ni wezi balaaa.. Mimo huwa nawakaushia akizidi namuwashia motooo matapeli wakubwa.
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Accha wenge atafika salama tumeshatoka stendi mida ya saa kumi mbili chuma ina pepea balaaa
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Hadi hili unalileta humu...Acha utoto
 
Wakati mwingine mjitahidi kukata ticket Ofisi za gari husika na sio huko barabarani kwa wapiga debe.
 
Pale matapelii balaaa kata ticket ofisi za Bus husikaaa.. Na gari iwe inafahamikaa kampuni yake mfano Abood..Tilisho sijui New force usikate ticket gari ambalo ndo kwanza umelisikia siku Hiyoo nasema USIJARIBUU bora uache kama gari unazozijua zimejaaa.
Nina karibia miaka miwili sijagusa ticket ya karatas
 
Atafaulishww
Unaongea simple tu kwamba atafaulishwa,kwenye gari gani,na zinaondoka saa ngapi,Chukulia mtu haishii Songea anaenda Border ya Tanzania na Mozambique,huko maborder yanafanya kazi kwa mda,na ukifika Mozambique gari za direct to maputo zinasagiri kwa siku maalumu labda kwa wiki mara tatu,unajua usichukulie vitu simple
 
Back
Top Bottom