Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Namba ya gari ya zamanii hivyo unategemewa usiibiwe..! Alafu siku hizi kuna online tickt huwezi kamkatie mkeo dar fujo kibaoo haya tafuta nauli nyingine
 
Yaani mijitu inakupa litiketi la sehemu usiyoenda halafu unakaa kimya
Yaani yeye kauliza gari ya kwenda Songea wakamkatia ya Kyela kwa makusudi,kumbuka hayuko peke yake kuna abilia mwingine kama yeye,inamana wamefanya makusudi sababu ya uhaba wa abilia ili wakawafaulishe Makambo kwenye Vicosta vya bei rahisi
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Duuh! Pole yake ila nadhani ni kukosa umakini kwani hakusoma taarifa baada ya kupewa tiketi hyo from dar to kyela ?
 
Back
Top Bottom