Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Duuh! Pole yake ila nadhani ni kukosa umakini kwani hakusoma taarifa baada ya kupewa tiketi hyo from dar to kyela ?
Alistuka, kuomba msada hakuna sliyemsaidia hamuoni konda wala dereve,yaani gari inaondoka nampigia simu niongee na konda anasema hamna konda yuko dereva tu
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Kwenye stendi zote kuna madalali tena wananjaa sana.
Ukitaka kwenda sehemu yoyote, wewe chagua basi unalotaka kwenda kisha nenda moja kwa moja watakuuliza unaenda wapi sema sehemu halisi halafu sema bei ya nauli pungufu. Utafika salama utakapoenda
 
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
"Mji njoo na akili zako tabia utazikuta"
 
Si huwa mnasema elimu haina umuhimu? Angalia darasa la saba alivyopigwa kiboya. Dunia ya leo unatapeliwa tiketi?
 
Mpaka saa hizi sijapata msada wowote maana namba nilizogogle moja haisomi WhatsApp ya Latra na ya Tanpoltz inasoma lakini haiko oline
Nenda kituo cha polisi cha ngazi ya wilaya , trafiki au polisi kawaida omba kuongea na ocd dto au msaidizi wake
Nimegoogle ya TABOA: 0654967898.
Chama cha kutetea abiria Tanzania, pia nimegoogle :
Mobilel: +255 719 277 901 | +255 715 997 777 | +255 623 708494
Mr. Godwin Ntongeji
Title: Deputy Secretary (Road Way Coordinator)
Adress: P.o.Box 77214 DSM,
Ubungo Termina,Ubungo
Phone: +255 (0) 715 220 773
Email: [email protected]
 
Back
Top Bottom