Watamfaulisha usiwe na wasiwasiJamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
HahaaaaJamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Badilikeni hivi siku hizi yanakwendaje kukata ticket stendi wakati Kila kitu onlineJamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Inashangaza kukosa umakini nao ni jangaYeye kipofu alikua haoni
Hapo sasaBadilikeni hivi siku hizi yanakwendaje kukata ticket stendi wakati Kila kitu online
Yaani mijitu inakupa litiketi la sehemu usiyoenda halafu unakaa kimyaInashangaza kukosa umakini nao ni janga
wanaitwa masalange sio mawingakatika watu siwapendi stendi wale mawinga kulazimisha unakwenda wapi.huku mkoa fulani wakioniona wanajua SHETANI WA KIKRISTO KAFIKA KIZIMKAZI.
????!!!!Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY
Unajua wapiga debe kawaambia anaenda Songea wakamkatie tiketi ya kwenda Kyela na hayuko peke yake yuko na abilia mwenye tatizo kama lake,na kumbuka Songea nauli 64,000 wakati Kyele 76,000Yeye kipofu alikua haoni