- Thread starter
- #161
Tiketi yake ya kielektroniki ilioneshaje
Siko Tanzania mkuuPole sana mkuu hapo Mbezi pana kituo cha polisi na dawati la wasafirishwaji kupeleka malalamiko jaribuni kwenda hapo watawapatia msaada, Mbarikiwe sana.

Hiyo ndiyo namba ya Gari ya kwenye tiketi niliyotumiwaHilo gari lina usajili wa nchi gani
Yaani kweli nakutumia namba ya mke wangu,ikishindikana kabisa stering namfata mwenyewe kuja kumsaidiaNitumie namba yake nimsaidie kwa haraka. Kama hatojali nimpe lift mi naenda Songea na private asubuhi hii
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Uko huru kuandika unachojisikia lakini siku zote mtu mwenye strees za maisha anakuwaga na hasira kwa watu wengine asiyowajua kama mbwa mwenye kichaaHiyo G inasimama kama G Wagon au??
Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.
Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
Don't panicUko huru kuandika unachojisikia lakini siku zote mtu mwenye strees za maisha anakuwaga na hasira kwa watu wengine asiyowajua kama mbwa mwenye kichaa
Shangaa weweHivi hapo Magufuli Terminal hakuna mamlaka za kuripoti?
Sisi humu ni kama ndugu.mtoto wako mtoto wangu, mama yako, mama yangu, mkeo. Sasa kuna shida gani na amepatwa na janga?Yaani kweli nakutumia namba ya mke wangu,ikishindikana kabisa stering namfata mwenyewe kuja kumsaidia
Aisee nimecheka, inaelekea wewe na mke wako wote ni washamba, mlikuja mjini kwa mbio za mwenge nini? Yaani sikuhizi ticket unakata mwenyewe online, yaani ulishindwa kukata ticket online?Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Wakifika Makambako wanampandisha gari ya kuelekea Songea.Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Hiyo G inasimama kama G Wagon au??
Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.
Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
Huku tunatumia namba za GP gaupeng hata mimi sina uzoefu wa namba za TanzaniaHiyo G inasimama kama G Wagon au??
Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.
Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
Mimi nakata tiketi online za ndege au kutoa paspoti online usinione bwege kivileMtu mwenye uwezo wa kuandika uzi JF bado tiketi mnakata stand? Jinga kabisa
Siyo kwa mke wangu wala mwanangu wa kikeSisi humu ni kama ndugu.mtoto wako mtoto wangu, mama yako, mama yangu, mkeo. Sasa kuna shida gani na amepatwa na janga?
Hii Nchi Ina upumbavu na wapumbavu wengi sana!! Imagine mkuu!!!Yeye kipofu alikua haoni
Jamani naombeni msada wenu,mke wangu alikuwa anaenda Songea kufika Mbezi wakamtapeli wakamkatia tiketi ya basi la kwenda kyela lenye jina la Kyela Express
Alipoomba msaada hakuna aliyemsikiliza mpaka gari za Songea zikaondoka, jibu walilompa ni kwamba watampeleka Songea,
Namba ya Hilo gari ni G 987 AWY na hayuko yeye peke yake kuna abilia mwingine na nauli waliyomkatia ni ya mpaka Kyela badala ya Songea
Nimekukubali sana mtu wangu wewe ndiye uliyenipa ushauli wa kweli kabisa siyo Vijana wa UVCCM waliokuwa wananibeza,Duuh pole sana mkuu, bahati mbaya mida naona hii post msaada kwa sasa tumeshachelewa.
Magari ya jioni kwa muda aliotoka yale ya kuja songea ndio muida hii yanafika songea, hapo kama wamemshusha makambako basi wangempakia kwenye super feo au new force, lakini pia jitahidi kumuelekeza mkeo kwa ufasaha na awe Shap kwa sasa unatarajia aingie boda ya Mozambique je ataelewana na wale jamaa wanaotumia kireno muda mwingi?
Pole sana kama ikiwezekana tumpokee shemeji hapa songea tumpe maelekezo mazuri ya kufika boda ya msumbiji nipo lilambo hapa kwa sasa.
Ilitakiwa atoe taarifa stand yoyote walioingia watu wa latra wapo na polisi wapo alitakiwa aende kwa hizo mamlaka awepe tarifa, Latra huwa wanakuwa mikese na mikumi wakati mwingine kwa ajili ya ukaguzi wa tiketi na kuulizia changamoto kama hizi.
Kingine jitahidi sana mtu anapokuwa safarini awe na simu yenye kukaa na chaji muda mrefu, wanawake kiukweli wanamadhaifu ila ninwajibu wetu kuwasimamia ipasavyo.
Huduma za wasafirishaji kwa Tanzania ninza hovyo sana wiki moja iliyopita nilipata mkasa kidogo nilikatia mtu toketi online bus la shabiby kutoka dar kwenda dodoma, bahati mbaya muhusika alipata emergency alfajiri nikajaribu kuwapa taarifa wahusika, kwanza simu naambiwa ile namba ni ya dodoma hivyo niwasiliane na watu wa dar
Nikawaambia nyie ni wababaishaji, kama umeweka namba hapa kwa tatizo lolote niwasiliane na hii namba mliweka mkiwa mnakusudia mpigiwe kwa matatizo yapi?
Mbona mnatoa huduma kihuni namna hii??
Nikapigia hiyo ya dar haikupokelewa kabisa na mara nyingine unaambiwa inatumika, sasa unona jinsi haya makmpuni ya usafirishaji yanavyoendeshwa na wahuni na watu wasiojali huduma kwa wateja, kurudi tena kwenye namba ya dodoma wakawa hawapokei simu kabisa baada ya kujua ninaewapigia nina shida gani.
Hivyo huduma za huko Sudi Africa ulipo huku kwetu ata robo yake hauwezi kuipata.
Mwisho wa siku niliacha nauli ile ipotee ingawa si kubwa sana ilikuwa 35 elfu tuu lengo ilikuwa kuwajulisha tunabdili muda wa safari.
Nimebaki kucheka tu,Don't panic
Nimewashauri tu kama nimekosea nisamehe na nipo tayari kurudisha 76,000 ya nauli ya mkeo.
Relax.
BINADAMU!!!Yeye kipofu alikua haoni