Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Nitumie namba yake nimsaidie kwa haraka. Kama hatojali nimpe lift mi naenda Songea na private asubuhi hii
Yaani kweli nakutumia namba ya mke wangu,ikishindikana kabisa stering namfata mwenyewe kuja kumsaidia
 


Hiyo G inasimama kama G Wagon au??

Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.

Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
 
Mke wako mshamba kupitiliza, magari ya Songea hayajui? Ofisi za magari ya Songea hazijui? Mkeo hajui kusoma, kuna namba inaanzia G? Hata AWY hupati bus la zamani kiasi hicho.
 
Hiyo G inasimama kama G Wagon au??

Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.

Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
Uko huru kuandika unachojisikia lakini siku zote mtu mwenye strees za maisha anakuwaga na hasira kwa watu wengine asiyowajua kama mbwa mwenye kichaa
 
Uko huru kuandika unachojisikia lakini siku zote mtu mwenye strees za maisha anakuwaga na hasira kwa watu wengine asiyowajua kama mbwa mwenye kichaa
Don't panic
Nimewashauri tu kama nimekosea nisamehe na nipo tayari kurudisha 76,000 ya nauli ya mkeo.
Relax.
 
Yaani kweli nakutumia namba ya mke wangu,ikishindikana kabisa stering namfata mwenyewe kuja kumsaidia
Sisi humu ni kama ndugu.mtoto wako mtoto wangu, mama yako, mama yangu, mkeo. Sasa kuna shida gani na amepatwa na janga?
 
Aisee nimecheka, inaelekea wewe na mke wako wote ni washamba, mlikuja mjini kwa mbio za mwenge nini? Yaani sikuhizi ticket unakata mwenyewe online, yaani ulishindwa kukata ticket online?
 
Wakifika Makambako wanampandisha gari ya kuelekea Songea.
 
Mtu mwenye uwezo wa kuandika uzi JF bado tiketi mnakata stand? Jinga kabisa
 
Hiyo G inasimama kama G Wagon au??

Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.

Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.

Hiyo G inasimama kama G Wagon au??

Mtu na mkewe wote mna wenge mbaya kabisa.

Angalia msije tapeliwa hadi viungo vyenu vya uzazi.
Huku tunatumia namba za GP gaupeng hata mimi sina uzoefu wa namba za Tanzania
 

Pole sana kiongozi ila siku nyingine tumia simu yako kutafuta basi la safari unayotaka kabla ya kwenda stand.
Hapa nimetafuta tu basi la kutoka Dar kwenda Songea yakatokea matatu....
1. Super Feo express
2. Selous Express
3. New force
Inamaana akifika stand angetafuta hayo mabasi au kama anaweza angekata tiketi online kabisa
 
Nimekukubali sana mtu wangu wewe ndiye uliyenipa ushauli wa kweli kabisa siyo Vijana wa UVCCM waliokuwa wananibeza,
Hapo Songea nina watu wangu wa Alkalim na Sarafini,ndiyo usafiri wa kwenda border ambao huondoka saa 2 asubuhi na saa 7 mchana,na kule border wale jamaa ni rafiki zangu ingawa border hufungwa sa 1 2 jioni mimi mwenyewe na wife tunaongea kileno vizuri kabisa
,maana nimeanza kupita ile njia toka mwaka 2000 kabla daraja halijajengwa na kulikuwa hakuna border rasmi,paspoti tulikuwa tunagongea Songea mjini
Yaani akifanikiwa afike Songea tu,pale ni kama nyumbani hapo nina conection kuanzia Lichinga mpaka Maputo hii ni kutokana na shughuli zangu na akivuka katembe hapo napo ni nyumbani mpaka anaingia jose
Sema wabongo wa mabasi roho mbaya sana kama za baadhi ya wana jamii forumn wa humu ndani wanajifanya kila kitu wanajua na kuponda wenzao,hii yote watu wanastress za maisha ya huko Tanzania sababu hawajui leo atatekwa nani maana kazi yao ni kusifia mitano tena,ukienda kinyume umekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…