Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Nimeshakutumia maelezo kule.
 
Nimeshakutumia maelezo kule.
Kama utaelewana na eagle ni sawa ila nenda kama mpishi na si Kila kitu usimamie wewe, biashara huwa inadoda kama haijaenda vizur mtaji ukakata nani atawajibika muweke sawa suala Hilo, Ili hata mkianza kazi usimamie kama mpishi mzur tu la sivyo muwe na mda wa majaribio kuona location kama inafaa ama vipi, huo ni ushaur tu, maana hapo ni kama unanunuliwa gar upeleke hesabu, ukishindwa umemwingiza mwenzako hasara.
 
Sawa, asante sana kwa kunielewesha.
Nitamtaarifu na hili pia.
Shukrani.
 
Una uzoefu wa kutumia Oven?
 
1.Mkuu kazi yani kazi utakayofanya ni upishi tu au kazi zote kiujumla za ndani kama kufua,kusafisha nyumba,kusafisha vyombo na kupika.
2.Je,unataka sehemu utakayokuwa unaenda kufanya kazi na kurudi kwenu au kukaa hapo hapo.
3.Kama utakuwa unafanya kazi na kurudi home,mshahara utahitaji wa range ngapi na kama unatakuwa unaishi kwa mwajiri wako range yako ya mshahara ni ngapi??
4.Una kiwango gani cha elimu na unamiaka mingapi,na je una mtoto??
 
Una uzoefu wa kutumia Oven?
Kiukweli uzoefu wa kutumia oven sina kivile.
Ila ninachojua sanasana ni ku bake cake na nyama.
Na setting za moto kwa baadhi ya vyakula huwa sina ujuzi nao
 
Una miaka mingap maan mpak Leo npo single najipikia mwenyewe 😀 😀 hivyo unawez fix iyo nafasi npe sifa zako tuuh mshaara utaanza kweyposa Kisha mahali na malupulupu Kilasiku 10 Aya kazi kwako
 
Tako titi lipo uje kwangu unipikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…