Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Jamani hali ngumu,

Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection.

Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali.

Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au?

Niko Dodoma mjini.

Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako niko tayari.

Karibuni PM

Mnaosema kuhusu zile Milioni 50, Nilikuwa namuombea ushauri mtu wala hazikuwa pesa zangu zile.
Maana naona mnaanza🤭
Kama upo Dodoma kajaribu Midland hotel_Kisasa,utakuja kunishukuru!
 
🤣🤣🤣
AmKATRINA shida ni nini Dada? Wiki mbili Zilizopita ukienda Pemba kuaguliwa kwa Mtaalamu, wiki iliyopita ukaja na uzi una 50 Milion na wiki hii unatafuta kazi ya upishi, mbona haueleweki?

Watu wanakuona kama unafanya maigizo aisee halafu huu mtandao una watu wema na wenye roho nzuri sana japo huwa hawa comment lakini wakiona jambo lilokuwa ndani ya uwezo wake anakuwa PM fasta.

Jaribu kuwa serious aisee kwenye mambo yanayohusu ustawi wa maisha yako.
Aliyekwbia huyo ni mwanamke ni nani hadi umuite dada? Hahahhahahaha Jf hatari sana😂😂😂🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom