Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Sijunyingine jaribu kuwa mkweli na muwazi tu mkuu, humu Jf kuna watu wema sana.
Kama hapa nina uhakika umesha jitia doa, hata kama palikua na mtu mwenye nia ya kukusaidia kiukweli tayari amesha kuweka kwenye aina ya kundi la vijana wasio waaminifu humu JamiiForums
Humu jf kila mtu ana tatizo lake la akili, haipiti siku bila kuvunjana mbavu.
 
Sijunyingine jaribu kuwa mkweli na muwazi tu mkuu, humu Jf kuna watu wema sana.
Kama hapa nina uhakika umesha jitia doa, hata kama palikua na mtu mwenye nia ya kukusaidia kiukweli tayari amesha kuweka kwenye aina ya kundi la vijana wasio waaminifu humu JamiiForums
Kweli kabisa watu wema wanapata wakati mgumu kusaidia
 
Sijunyingine jaribu kuwa mkweli na muwazi tu mkuu, humu Jf kuna watu wema sana.
Kama hapa nina uhakika umesha jitia doa, hata kama palikua na mtu mwenye nia ya kukusaidia kiukweli tayari amesha kuweka kwenye aina ya kundi la vijana wasio waaminifu humu JamiiForums
Sawa nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom