Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Ndio siwezi kusonga ugali wa watu wa idadi hiyo.
Na niko Above 35.
Sijui unahitaji nini kingine?
Maana kusema ukweli ndio unageuka mwiba kwangu au?
Amna Dada, kunayo nafasi kwenye taasisi inayohudumia kuanzia kindergarten mpaka college hizo ....

Na idadi ya wahudumiwa ni zaidi ya 1200 ...
Kuna kijana kaondoka na tulihitaji kuziba gap hilo...

Ila asante Boss wangu 🙏
 
Huyo kijana alikua anawapikia watu 1200, au alikua anawasimamia wapishi?
 
Amna Dada, kunayo nafasi kwenye taasisi inayohudumia kuanzia kindergarten mpaka college hizo ....

Na idadi ya wahudumiwa ni zaidi ya 1200 ...
Kuna kijana kaondoka na tulihitaji kuziba gap hilo...

Ila asante Boss wangu 🙏
Asante pia.

Kwani ungesema direct tu ungepungukiwa nini?
Unaanza kuzunguka na kunipima ili iweje?
Sijapenda.
Kama umebarikiwa wewe inatosha mkuu.
Asante pia kwa ushauri
 
Kumbe wapishi wapo wengi, mpe kazi huyu dada.
Ataweza kusaidiana na wapishi wengine.

Haukua wazi tokea mwanzo akajua mpishi atakua peke yake.
Achana nae.
Yeye alisema mimi peke yangu, kwani angesema kuwa wako wengine nashirikiana nao angepungukiwa nini?
Halafu mtu ukiongea unaonekana mjuaji.
Sijapentaaaaaa!!!
 
PM maana yake ni Private Message.. uwe na kifua cha kuacha mambo huko huko PM..

Unawachoresha wenye nia ya kukusaidia, watajua huu mshangazi hautatunza siri za OFISI
Ndio maana sijasema lolote na sitasema.
Nazijua vyema sheria za Jf mkuu.
Wala msijali.
 
PM maana yake ni Private Message.. uwe na kifua cha kuacha mambo huko huko PM..

Unawachoresha wenye nia ya kukusaidia, watajua huu mshangazi hautatunza siri za OFISI
Afu mie sio mshangazi
Koma☹️
 
Back
Top Bottom