Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

🤣🤣🤣
AmKATRINA shida ni nini Dada? Wiki mbili Zilizopita ukienda Pemba kuaguliwa kwa Mtaalamu, wiki iliyopita ukaja na uzi una 50 Milion na wiki hii unatafuta kazi ya upishi, mbona haueleweki?

Watu wanakuona kama unafanya maigizo aisee halafu huu mtandao una watu wema na wenye roho nzuri sana japo huwa hawa comment lakini wakiona jambo lilokuwa ndani ya uwezo wake anakuwa PM fasta.

Jaribu kuwa serious aisee kwenye mambo yanayohusu ustawi wa maisha yako.
 
Hauko serious... Wakati mwingine tunaweza kutaja idadi ili tupime uwezo na utendaji kazi wako...

Asante sana 🤝 naamini watakupatia wengine
Sasa nitasemaje niko below 35 wakati niko above 35?
Je, nikidanganya kisha mwisho wa siku tukaonana live itakuwaje?

Wewe kama umeamua kunikunjia sawa, ila mimi niko serious kabisa mkuu
 
Sizungumzii umri, nimetaja idadi ya unaotakiwa kuwa hudumia... Ukasema huwezi labda uwapikie wali ndio maana nikarejea kwenye kuhitaji umri wako
 
🤣🤣🤣
AmKATRINA shida ni nini Dada? Wiki mbili Zilizopita ukienda Pemba kuaguliwa kwa Mtaalamu, wiki iliyopita ukaja na uzi una 50 Milion na wiki hii unatafuta kazi ya upishi, mbona haueleweki?

Watu wanakuona kama unafanya maigizo aisee halafu huu mtandao una watu wema na wenye roho nzuri sana japo huwa hawa comment lakini wakiona jambo lilokuwa ndani ya uwezo wake anakuwa PM fasta.

Jaribu kuwa serious aisee kwenye mambo yanayohusu ustawi wa maisha yako.
Pemba kweli nilienda na mashahidi wapo
Ile 50M nilikuwa namuombea ushauri mtu.
Na kuhusu suala la kazi ni kweli natafuta.
Na tayari nafanya mazungumzo na baadhi Pm.

Najua wapo wenye nia ya kweli.
 
Sizungumzii umri, nimetaja idadi ya unaotakiwa kuwa hudumia... Ukasema huwezi labda uwapikie wali ndio maana nikarejea kwenye kuhitaji umri wako
Ndio siwezi kusonga ugali wa watu wa idadi hiyo.
Na niko Above 35.
Sijui unahitaji nini kingine?
Maana kusema ukweli ndio unageuka mwiba kwangu au?
 
Back
Top Bottom