Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

Afu wewe inaonekana ni dalali.
Nipe namba ya boss wako anipe kazi.
Au mnatak nianze kudanga?
Dada nimejifunza vitu vingi kwako...

Hakuna sehemu yeyote niliyo react kwa kukuonyesha ukorofi au ujuaji... Nimekuuliza maswali sensitive ambayo ninaamini tunaweza kupata tunachokihitaji au ukapata msaada si kwangu tu' Bali kwa yeyote yule...

Maana katika details zako hakuna sehemu yeyote umeonyesha limit ya upishi wako, kuwa unaweza kupika nini na kwa idadi gani...

Next time, usipanic jifunze kushusha hasira zako au jazba ulizo nazo...

Am out 🙏🤝
 
..nitumie CV yako, nahitaji mdada housekeeper cum cook, on one year term contract, residence itakuwa at work place.
 
Kwenda kalale huko
Huna la maana la kuniambia na kazi zenu sizitaki.
Kwani bila kazi siishi?

Maana naona kama umetumwa.
Nami Am Out too!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…