ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Get Well Soon kijana wangu!
Namtuma mdogo wetu beibe nasty akuletee matunda na juice!
Get well soon!
Wewee huyu ni mdogo wake aisee sio tunda kama la Adam na Hawa ladyfurahia lol una balaa
Nakusalimia Blaki Womanipole upone haraka
namtuma mke mwenzangu Madame B akulete matunda
Wewee huyu ni mdogo wake aisee sio tunda kama la Adam na Hawa ladyfurahia lol una balaa
Toka lini dada na kaka wakala tunda la mti wa katikati?
Heheheee lazma wanatane wakilila lol