ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #81
jamani mtamuua mume wangu bure jamani mpaka nitoke huku job si atakuwa chakari na mtaihamsha hiyo homa iliyotulia au hamjui kuwa jana tulimpeleka katika maombi na ninyi mlimuombea hapa jfchitchat sasa iweje mnampa kilevi huyu mwenzenu na mnajua kuwa yeye akiona tu anachanganyikiwa kabisa, na kuhusu kilevi changu sijampa mpaka apone nyie mnataka kuleta balaa katikati yetu au hamjui yakuwa alichokiunganisha ............ mwanadamu hawezi kutenganisha?
alimaanisha hicho kilevi chako.. siyo kizuri kinalegeza sana mwili, hiki cha chupa hakina shida dawa inafanya kazi masaa 24 baada ya hapo kama kawa, lakini kwa tahadhari tutaenda kunywea pale jolly ili iwe karibu na Hosptali ya agakhan likitokea la kutokea begani fasta haina haja ya ambulance

