Jamani Ndugu yetu MENTOL anaumwa tumkumbe katika maombi

Jamani Ndugu yetu MENTOL anaumwa tumkumbe katika maombi

samahani Mentor kwa kukuchanganya jinalo si unaujua sie tunaotokea pande zile yani kwenye r tunaweka l jamani waungwana ni Mentor ndiye anayeumwa sijui MMENIPATA HAPO?
Hay wanajamvi wenzangu msishtushwe na habari hii
Kwa habari nilizopata kwa mwenyewe leo hii ni kwamba Ndugu yetu Mentol anajisikia vibaya kwani anaumwa Malaria
na imebana zaidi ya juma zima lililopita alikuwa yu mgonjwa. Hivyo wanajamvi wenzangu tumkumbuke ndugu yetu katika maombi, Mungu amponye ili aweze kuendelea na shughuli nakazi kama kawaida.

nami namtakia apone haraka na Mungu aponye na kurudi katika gurudumu la kuendeleza Taifa letu

pokea kazawaidi haka kakuashiria upendo kwako, uwe unakunywa juice kila wakati best

getwellView attachment 82805

uwe unakula hata matunda hata kama unaona hakuna radha mdomoni

na angalia kadi za upendo pindi ujisikiapo uko oky

copy: gfsonwin (unangojewa kwa hamu kwake) Erickb52, Mr. rocky, Mtambuzi, Nicas Mtei, charminglady, Ruttashobolwa, Bakulutu, Madame B, Smile, Chimbuvu, Baba V, mamamia, Donn, nivea n.k
 
Last edited by a moderator:
usiwe na wasiwasi wala mashaka juu yangu na Mentor kwani hujui kuwa ....................? kati yetu, tunakukaribisha home ila upige hodi pindi ukifika
Nina wasiwasi ya uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia salimianeni wote na mget well sooon
monomao Mentor nkiki lanye pole sana nikivuka leo ntakuja kukusabahi hapo kwako.
 
Last edited by a moderator:
jamani nivea nisaidie huyu mgonjwa hapa ananisumbua kweli mara sitaki ndizi nataka juice nikimpa hataki analinga anataka chipsi iliyochanganywa na rabbit nampa anakataa anasema nimpikie makande sasa hayo makande yataiva saa ngapi kwa muda huu wa saa 11:35 jamani si kutesana huku, hebu niitie gfsonwin aje hapa home jamani kwani mwenzie nshashindwa
 
Last edited by a moderator:
najaribu kupiga namba ya gfsonwin haipatikani kama yuko kona ya pande za huko mwambie aje huku home anahitajiwa na Mentor hapa anasema hawezi kula chipsi iliyochanganywa na nyama ya rabbit bila yeye kuwepo. Plssssssss nivea mwite huyu mdada aje jamani maana anaanza kunitapikia hapa ona sasa ona sasaaaaa haaa! kuuguza kazi kwelikweli
 
unamaanisha nini unaposema "x shem" na kumpa heshima ya "A" grade kivipi? ndg

I mean i was in couple with her sister!
Btw couple hiyo haipo active tena kwa sababu maalumu za kimsingi, ambazo hazikusababishwa na any conflicts.
Afu mbona hivyo kunani ?
Mbona umeniuliza a certain relation kama una mshtuko?
 
najaribu kupiga namba ya gfsonwin haipatikani kama yuko kona ya pande za huko mwambie aje huku home anahitajiwa na Mentor hapa anasema hawezi kula chipsi iliyochanganywa na nyama ya rabbit bila yeye kuwepo. Plssssssss nivea mwite huyu mdada aje jamani maana anaanza kunitapikia hapa ona sasa ona sasaaaaa haaa! kuuguza kazi kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Pole Mentor mungu akujaalie afya njema upone haraka
 
Last edited by a moderator:
Get well soon Mentor! Mimi na akanana wangu passion lady tunakuombea kwa mungu upone mapema!

Eeeh??

Asante mpendwa.
Pole Mdogo wangu Mentor.
Utapona.
Mimi na Chimbuvu tuko pamoja kwenye Maombi.

dada we mtata...ushabadili...i thot ulikuwaga na Ruttashobolwa!??

Umeeleweka zamani mbona! Na nshamuombea huyu ni my x shem, then ninamuheshimu kwa "A"grade!

Shem shem shem..mbona hizi habari mpya sina? lini mlitalikiana na beibe nasty?

Nina wasiwasi ya uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia salimianeni wote na mget well sooon
monomao Mentor nkiki lanye pole sana nikivuka leo ntakuja kukusabahi hapo kwako.

Mhh...kitewo nyi iyo!!!
Nataka foil za kwa mwingira...unavuka mida gani vile?? (PM me huo muda nikungojee feri kabisa...!)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom