Jamani Ndugu yetu MENTOL anaumwa tumkumbe katika maombi

My dearest mpendwa katika Bwana ladyfurahia nashukuru sana...zaidi sana kwa kuwepo nami hapa kuniuguza na kuvumilia usumbufu wangu...

To all others, nashukuru for your well wishes...najisikia nafuu sana leo na God willing kesho nitarudi kazini kusukuma gurudumu la maendeleo!!!!

Mbarikiwe sana!!!!
 
Last edited by a moderator:
get-well-soon06.gif
Mentor
 
Last edited by a moderator:
Eeeh??

dada we mtata...ushabadili...i thot ulikuwaga na Ruttashobolwa!??

Shem shem shem..mbona hizi habari mpya sina? lini mlitalikiana na beibe nasty?

Mhh...kitewo nyi iyo!!!
Nataka foil za kwa mwingira...unavuka mida gani vile?? (PM me huo muda nikungojee feri kabisa...!)
Hapa naona tunajulishwa uhusiano uliopo kati ya Mentor na ladyfurahia na wala sio khabari ya ugonjwa
 
Last edited by a moderator:
My dearest mpendwa katika Bwana ladyfurahia nashukuru sana...zaidi sana kwa kuwepo nami hapa kuniuguza na kuvumilia usumbufu wangu...

To all others, nashukuru for your well wishes...najisikia
Shem umeniuliza kua habari ya mimi na Natsy ni mpya! Nadhani kwa bahati mbaya Thrade za data hizo zilikupita, hizo habari ni kweli na in goodwill hatukutengana becouse of quarrel or conflicts!
Ni kufuatia majukumu ya kila mmoja kumfanya kua mbali na mwenzawake ndy tukafikia hivyo kwa nia njema.
Nway refar ushemeji haufagi always will be sustainable.
 
Na hakuna uwezekano wa uhusiano huo kurudiwa!>>
Au ndo mmekuwa kama Ruttashobolwa na Madame B ?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mentor mungu ashushe roho wa uponyaji juu yako
 
Last edited by a moderator:
My dearest mpendwa katika Bwana ladyfurahia nashukuru sana...zaidi sana kwa kuwepo nami hapa kuniuguza na kuvumilia usumbufu wangu...

To all others, nashukuru for your well wishes...najisikia
Shem umeniuliza kua habari ya mimi na Natsy ni mpya! Nadhani kwa bahati mbaya Thrade za data hizo zilikupita, hizo habari ni kweli na in goodwill hatukutengana becouse of quarrel or conflicts!
Ni kufuatia majukumu ya kila mmoja kumfanya kua mbali na mwenzawake ndy tukafikia hivyo kwa nia njema.
Nway refar ushemeji haufagi always will be sustainable.
 
Last edited by a moderator:
Pole zina saidia nini hapa??????Twendeni tukamuone MGONJWA. wacheni kupiga MAYOWE OVYO!!!!
 
haiye mbee Mentor.

supusupu na kisusio kinapanda nikuletee mkuu si unajua dawa bila lishe ni sumu.

Pole sana mkuu ni kaupepo tu katapita kwa kudra za Mnyaazi Mungu
 
Back
Top Bottom